-
Jambo Moja Unalopaswa Kufahamu Kabla Ya Kuingia Kwenye Mahusiano
Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii ya leo.Rafiki yangu naomba niikwambie kwamba tupo katika dunia hii kuhakikisha kwamba tunafanya mabadiliko makubwa sana. hii ndio kusema kwamba hatupaswi kuwa watu wa kufanya kitu ilimradi tu tumefanya au kuonekana kwamba tumo. Bali tunapaswa kuhakikisha kwamba tumekifanya kwa kuweka nguvu na…
-
Hili Ni Jambo Linalowafanya Watu Washindwe Maishani
Moja kati ya swali ambalo nimekuwa najiuliza ni swali la je, ni kweli watu hawajui kile wanachofanya au wanajua kiasi kwamba wanapuuzia? Je, ni kweli kwamba masikini hawajui mbinu za kutafuta pesa au wanazipuuzia?Je, ni kweli watu wanaoumwa hawajui kanuni za afya au wanazipuuzia? Unadhani jibu ni lipi? Jibu ni rahisi sana WATU WANAJUA KARBIA…
-
Nani ametengeneza kanuni hii? Haifanyi kazi!!!
Nakumbuka shule ya msingi kuna maswali ambayo usingeweza kuyafanya bila ya kuwa na kanuni. Kwa hiyo ulipaswa kumeza kanuni husika ili uweze kufanya swali fulani kwa ufanisi. Kwa hiyo ulikiwa wajibu wa kilaw mwanafunzi kuhakikisha kanuni zilizo katika mtaala anazijua na kuzifuata. Kama ni kanuni ya mduara, basi kila mwanafunzi alipaswa kuijua haswaaa, na kuitumia…
-
Hii Ni Fursa Ambayo Hupaswi kuichezea
Habari ya siku hii njema sana rafik yangu. Hongera sana kwa siku hii ya leo, na hakikisha kwamba ndani ya siku hii ya leo unaweka juhudi kubwa sana. Hakikisha kwamba haukwami rafiki yangu wala kurudi nyuma kwa sababu yoyote ile. Wewe ni mshindi, ishi kiushindi ndani ya siku hii ya leo. Ndani siku yoyote ile…
-
Hiki Ni Kitu Ambacho Unasahau Kupangilia
Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii ya leo. Ni siku njema sana kwako na ni siku ya kipekee sana kwako, hiyo hakikisha kwamba hauipotezi siku hii ya leo.Mara nyingi sana huwa tunapanga maeneo ya kwenda na watu wa kukutana nao. Huwa tunapanga ni muda gani tutakutana na watu…
-
Hii Ndio Njia Nzuri Ya Kufanya Kazi Kubwa Sana
Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii ya leo. Karibu sana tupate kujifunza kitu kipya kwenye maisha yetu. Ukikutana na watu wengi sana utawasikia wakisema, ukitaka kupata hiki au kile basi fanya hivi. Lakini watu hawa ukiwafuatilia kwa ukaribu utagundua kwamba hawafanyi kile wanachokiongea. Watu wanajua kila kitu na…
-
Je, Dunia Ya Sasa Ni Kijiji Au Mabara Yameongezeka?
“Dunia ya sasa hivi ni kama kijiji” huu ni usemi ambao unapedwa kutumiwa na watu wengi sana. Watu wanatumia usemi huu wakimaanisha kwamba sasa unaweza kuwasiliana na mtu yeyote sehemu yoyote duniani na muda wowote bila shida kubwa sana kama ilivyokuwa zamani. Tukirudi miaka ya nyuma kidogo, mpaka kwenye karne ya 15, ilichukua miezi na…
-
Hivi Ndivyo Wazo Lako Linaweza Kukubalika Dunia Nzima
Hivi ushawahi kujiuliza au kukaa na kufikiri siku ambayo utaingia katika chumba fulani chenye watu wakakaa na kukusikiliza juu ya wazo lako bora lenye maana sana? Au ushawahi kujiuliza ni kwa jinsi gani wazo lako linaweza kukubalika duniani kote? Kiukweli jibu la swali hili hapa ni rahisi sana. Yaani ni rahisi kama ilivyo kunywa maji.…
-
Usifanye Kitu Hiki Kikiwa Cha Kwanza Unapoamka Asubuhi
Habari ya siku hii njema sana ya leo rafiki yangu. Hongera kwa kupata nafasi nyingine ya kwenda kuishi. Nafasi nyingine ya wewe kwenda kuweka alama katika dunia hii. Hakika hii ni nafasi ya kipekee sana, hakikisha unaitumia vyema maana ikipita ndio hiyo imepita. Haijirudii hata kidogo. Hivi huwa ukiamka kitu chako cha kwanza kufanya huwa…
-
Hivi Ndivyo Unaweza Kutengeneza Kazi Inayokonga Mioyo Ya watu
Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii ya leo. Hivi ushawahi kuwa na wazo la kufanya kazi kubwa sana maishani mwako? Bila shaka umewahi kuwaza juu ya kuwa mwanamziki mwenye wimbo unaoitwa wimbo wa taifa. Au umewahi kufikiri juu ya kuwa mwandishi atayeandika hadithi itayosomwa na watu wengi na…
-
Hiki Ni Kitu Ambacho Unapaswa Kuachana Nacho Mara Moja
Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii ya leo. Imani yangu kwamba u mzima wa afya na leo kama kawaida unaenda kufanya kazi kwa juhudi kubwa sana. kitu kitakachokufanya wewe uweze kufikia mafanikio makubwa sana, Mara nyingi sana tumekuwa tunaongea na kuelimisha na juu ya mambo ya msingi…
-
Vitu Vinavyokufanya Utangetange Kila Mahali
Habari ya siku hii njema sana rafiki na ndugu msomaji wa makala haya kutoka kwenye blogu yako pendwa ya songambele. Imani yangu kwamba leo ni sikku njema sana kwako na unaenda kuweka juhudi kuhakikisha kwamba unafanya kazi kwa bidii, kujituma na kuhakikisha kwamba unafikia malengo yako. hongera sana rafiki yangu kwa siku hii njema sana.…
-
Huu Ni Ugonjwa Ambao Unapaswa Kuuugua
Habari ya siku hii ya leo rafiki na ndugu msomaji wa blogu yako ya songa mbele. Karibu sana katika makala haya ya siku hii ya leo ambapo tunaenda kujifunza ugonjwa ambao unapaswa kuugua maishani mwako. Kwanza igundulike kwamba kuna magonjwa mengi sana ambayo watu wanaugua hapa duniani. Magonjwa mengine yanatibika na mengine hata hayatibiki. Lakini…
-
Hiki Ni Kipimo Kinachotumika Kupima Mafanikio Yako
Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii ya leo. Imani yangu kwamba leo hii ni siku njema sana kwako na unaenda kuweka juhudi kuhakikisha kwamba unafanhya kazi kwa bidii kubwa sana kuhakikisha kwamba unafikia mafanikio makubwa sana. hakika siku hii ya leo usiiache ikaenda hivi hivi tu. Itumie vilivyo…
-
Hivi Ndivyo Wewe Unapaswa Kufikiri
Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii ya leo rafiki yangu. Nina hakika leo ni siku ya kipekee sana maishani mwako. Hongera sana kwa siku hii. Leo ngoja tuzungumze namna ya kufikiri ambayo unapaswa kuwa nayo. Bila shaka umewahi kusikia, kila mtu yuko alivyo kwa sababu ya jinsi anavyofikiri.…
-
Huu Ndio Upande Unaopaswa Kuuchagua Siku Zote
Katika historia ya dunia tunasoma kwamba mwaka 1884 kulikuwa na mkutano wa Berlin. Katika mkutano huu nchi za Ulaya zilikuwa zikipambana ili kuhakikisha kwamba zinaligawa bara la Afrika. Mmoja wa watu waliokuwepo kwenye mkutano huo ni Marekani. Lakini Marekani hakuwa mmoja wa watu waliokuwa wanapigana ili kupata sehemu Afrika, bali Marekani alikaa kama msikilizaji. Rafiki…
-
Hiki Ni Kitu Ambacho Dunia Haipungukiwi
Sio kitu cha ajabu kusikia watu wanasema kwamba kuna uhaba wa maji. Au uhaba wa chakula. Wengine utawasikia wakisema kuna uhaba wa walimu katika shule, wilaya au mkoa fulani. Cha ajabu zaidi ni kwamba kuna malalamishi ya uhaba wa viongozi bora. Lakini ushawahi kujiuliza ni kitu gani ambacho hakina uhaba? Yaani uapatikanaji wake upo kwa…
-
Je, Sehemu Yako Ya Kusimamia Ni Ipi?
Kuna wakati kuku huwa anaficha mguu mmoja na kusimama kwa mmoja. Kuna wakati paka huwa anasimama kwa miguu yake ya nyuma na kuiacha miguu ya mbele ikielea. Hii ndio kusema sehemu zinazotupa uhakika zipo kila wakati na kwa kila mtu, ila kuna wakati tunapaswa kuzikataa na kutafuta sehemu bora zaidi. Ndio maana kila siku tunaalikwa…
-
Hivi Ndivyo Unaweza Kupata Muda Zaidi Wa Kazi Zako
Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii ya leo. Kila siku una masaa 24 ya kuishi. Masaa 24 ya kufanya kile unachopaswa kufanya masaa 24 ya kufanya kila kitu.Je, unapata muda wa kufanya kazi za muhimu kwako?Unaweza kupata muda wa kufanya kazi yoyote ile ambayo unataka kama utaamua. Suala…
-
Haya Ni Mambo Manne (04) Ambayo Unapaswa Kuyafanya Asubuhi
Kila siku mpya huwa inaanza asubuhi. Kila asubuhi huwa ni mpya. Uwezo wa kuipata na kuishi ndani ya asubuhi mpya ni jambo jema sana. Kwa hiyo kila siku kunapokucha lazima ujitahidi kuhakijisha kwamba unaitumia vyema asubuhi yako. Kuna mambo manne (04) ambayo unaweza kuyafanya kila unapoamka asubuhi.Na mambo haya ni kama ifutavyo. 1. KUSHUKURU.Neno la…
