-
Hiki Ni Kiwango Cha Uharaka Kinachopendwa Sana Na Watu
Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Imani yangu leo ni siku njema sana. Dunia ya sasa hivi imekuwa ni dunia ya kasi sana. Kwa sasa watu wanapenda sana vitu vya kasi kuliko wanavyopenda kitu kingine chochote. Katika dunia ya sasa hivi kasi ni kitu ambacho kinaongelewa kila mahali. Ndio maana utasikia baadhi ya…
-
A NOTE FROM SONGAMBELE; Namba Za Simu
Kama katika namba za simu zote zilizo kwenye simu yako hauna namba ambazo unaweza ukazipigia zikakusaidia kutatua tatizo Fulani basi hapo unapaswa kuivunja laini hiyo … Ndio inashangaza lakini ni ukweli.Kama watu wote ulionao kwenye simu yako muda wote tu wanataka mchati, tena sio masuala ya maana. vunja laini. Vunja laini na anzisha mpya ambayo…
-
MAKALA MAALUM KWA WATU MAALUM; Kwa Nini Kusoma Vitabu
Katika zama za sasa hivi tulizopo kuna vitu ni rahisi sana kuvipuuzia na kuna vitu inakuwa ni vigumu kuvipuuzia.Kuna vitu vinavutia kuvifanya na kuna vitu havivutii kufanya. Mfano kuchati na kufuatilia habari nyepesi nyepesi kwenye mitandao ya kijamiii kunavutia sana kuliko kukaa chini na kusoma kitabu. Ndio maana watu walio wengi wanatumia muda mwingi sana…
-
A NOTE FROM SONGAMBELE; Matumizi Ya Pesa
Moja kati ya vitu unavyopaswa kuviepuka ni watu kujua kwamba una pesa. Yaani hakipaswi kuwepo kipindi ambacho ukishika pesa mkononi kila mtu anajua. Kwa mfano pale unapopokea mshahara. Sio lazima kila mtu ajue kwamba sasa mshahara umeingia. Na ili kuepuka hili kuna tabia utapaswa kuzibadili.Mfano sio lazima watu wakujue kwamba unapokuwa na pesa ndipo unapost…
-
Kitu Kimoja (01) Muhimu Kuhusu Muda
Habari ya siku hii ya leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa makala kutoka katika blogu yako ya songa mbele. Imani yangu leo ni siku bora sana kwako na unaenda kuweka juhudi kuhakikisha kwamba unafanya makubwa sana ndani ya siku hii ya leo. Moja kati ya rasilimali muhimu sana ambayo ni lazima tuitumie vizuri sana…
-
Vitu Haviishi Kama Vilivyoanza
Vitu haviishi kama vilivyoanzaHapa katikati huwa kuna mabadiliko.Kazi hubadilikaMarafiki hubadilikaKipato hubadilikaMahusiano hubadilika Kwa hiyo pale utakapoona kitu hakiendi kama ambavyo kimeanza basi hapo usisite kuweka juhudi ili kupata matokeo unayoyataka. Vitu haviishi kama vilivyoanza. Watu mara nyingi hupenda kukuona kama walivyokuona siku ya kwanza. Kama hutapiga hatua na kusonga mbele zaidi basi watu watazidi kufurahi…
-
A NOTE FROM SONGAMBELE; MITANDAO YA KIJAMII
mitandao ya kijamii haupo kwa ajili ya wewe kuwaambia watu kwamba leo ulipata wakati mbaya wakati unasafiri kufika nyumbani.Wala haipo kwa ajili ya wewe kuwapa taarifa kwamba leo umekula nini? Au kifungua kinywa chako kilikuwaje? Mitandao hii IPO kukuunganisha na watu kibiashara ili mfanye biashara na kukuinua kukutoa hapo ulipo kwenda hatua ya ziada. Je,…
-
A NOTE FROM SONGAMBELE; VIDOGO VS VIKUBWA
Ukilala muda unaopaswakufanya kazi, utafanya kazi mudaunaopaswa kulala Ukitumia pesa kufanya manunuzi ambayo si ya lazima ghafla utajikuta unahangaika kukopa pesa kwa ajili ya matumizi ambayo ni ya lazima Usipokuwa makini na matumizi ya hela kidogo mkononi hutaweza kutumia hela kubwa sana ambayo utakuja mkononi mwako. Kama huwezi kuanza na hatua hatua kdogo ndogo kuelekea…
-
KITABU, TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA
Kwa siku nyingi sasa kumekuwepo na malalamishi kutoka kwa watu mbalimbali, ndani na nje ya bara la la AFRIKA, malalamishi haya haswa yanaelekezwa kwa wazungu na wakoloni na watu nchi za nje. Watu wengi wamekuwa wakilalamika kwamba sasa bara la Afrika lingekuwa limepiga hatua kubwa sana kama wasingekuwa wakoloni waliotawala nchi hizi za Afrika na…
-
Usibadili Kioo
Tunaangalia kwenye kioo tunajiona sisi wenyewe.Itaonekana ajabu pale utakalalamika kwamba juu ya kile unachokiona kwenye kioo.Ni ajabu pia kubadili kioo ili upate picha ya tofauti. Kama tunataka kubadili picha ya kweye kioo lazima tujibadili sisi wenyewe. Kwa maneno mengine ni kwamba kama hutaki matokeo ya kile unachopata kwenye maisha basi unahitaji unahitaji kujibadili wewe kwanza…
-
Hii Ni sentensi Ambayo Unahitaji Kuiepuka
Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii njema ya leo. Ndani ya kila siku mpya kuna vitu vya kufanya. Yaani kuanzia asubuhi mpaka ileee jioni unakuwa vitu kibao vya kufanya. Mbali na kwamba unakuwa na vitu hivi vingi sana vya kufanya. Bado unahitaji kufanya uchaguzi na kufanya baadhi na…
-
Maajabu Ya Vitu Vidogo Vidogo
Haba na haba hujaza kibaba ni maneno ya wahenga. Sijui aliyesema maneno haya akikuwa anafikiria nini hapo mwanzo lakini haya ni maneno ambayo yanafurahisaha sana na yana ukweli mkubwa sana ndani yake. Siku zote vitu vidogo vidogo ndivyo huchangia vitu vikubwa. Mara ngingi sana watu huwa wanadharau vitu vidogo vidogo ila ni vitu hivi hivi…
-
WEWE NI MENEJA WA MAISHA YAKO
via https://youtu.be/HAYwQ4jzne0
-
KITABU, KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI
Kutoka sifuri mpaka kileleni ni kitabu ambacho kimeandikwa kwa wakati muafaka kikikulenga wewe ambaye una ndoto ya kufikia eneo kubwa sana maishani. Yaani kileleni. Ndani ya kurasa za kitabu hiki utapata kujifunza vitu kadha kadha ambavyo vitakufanya wewe uzidi kusonga mbele kila siku. 1. Utapata kujua kama unaishi au uko hai. Maana hivi vitu ni…
-
KUANZIA CHINI MAANA YAKE NINI? (Vitu unavyohitaji kuzingatia ili kuanzia chini).
via https://youtu.be/Nth04JsUEJw
-
Hii Ndio Zawadi Pekee Ambayo Unapaswa Kuipokea Mikononi Mwako
Habari ya siku hii njema sana ya leo rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii njema sana ya pasaka, ikiwa ni siku ya pili. Tangu jana rafiki yangu nimeamua kukupa zawadi ya pasaka ili ufurahie vizuri pasaka yako. Siku zote huwa naamini zawadi nzuri ni ile inayokupa hamasa ya wewe kusonga mbele. Kama ambavyo mtu…
-
TABIA TATU UNAZOPASWA KUWA NAZO KUELEKEA MAFANIKIO
via https://youtu.be/crreALVkcZI
-
KHERI YA PASAKA RAFIKI YANGU
Habari ya hii njema sana rafiki yangu. Imani yangu kwamba leo ni siku njema sana kwako. Nachukua nafasi hii nzuri sana kukupongeza kwa nafasi hii ya pasaka leo, rafiki yangu. Hongera sana. Kama ilivyo kawaida rafiki yangu katika kila tukio linalotokea katika maisha yetu inakuwa ni nafasi bora ya kujifunza. Leo hii pia ikiwa ni…
-
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-161 Tatizo unajishikiza kwenye kuta za dimbwi la maji.
Huwezi kuwa mwogeleaji hodari wakati unaendelea kujishikiza kwenye kuta za swimming pool. Ili uwe mwogeleaji mzuri lazima ukubali kuachia kuta za swimming pool na kuingia kati kati ya maji. Kama utaendelea kushikilia kuta za swimming pool, nakuhakakikishia utaendelea kuwasikia waogeleaji hodari kwenye redio. Vivyo kwenye hali kawaida ya maisha, kama ambavyo huwezi kuwa mfungaji hodari…
-
USIKUBALI KUKOSA NAMBA!
Kila unapoamka kila siku asubuhi, siku yako unakuwa nayo masaa mengi sana yaani masaa 24, lakini hata siku moja, muda siku zote huwa unaonekana kama hautoshi hii ni kutokana na ukweli kwamba kazi zinakuwa zinaonekana ziko ningi sana. tena ukifanya kazi zako kufikia jiooni unajikuta kwamba umechoka sana lakini ukiingalia siku yako umefanya nini unaonekana…
