INAWEZEKANA


 Inawezekana wewe kufikia kiwango cha mafanikio unachotaka. Inawezekana wewe kuishi bila madeni. 

Inawezekana wewe kuifikia ndoto yako kubwa.

Inawezekana wewe kuufikia uhuru wa kifedha. Kiufupi hakuna kitu ambacho Kama utaamua kufanya kitashindikana.

Ila itapaswa kuweka malengo ya kufikia kitu hicho. Kisha kuanza kuyafanyia kazi hatua kwa hatua.

Ebu Sasa niambie ni kitu gani ambacho wewe  ungependa Kufanikisha? Umekwama wapi mpaka Sasa Kufanikisha hicho kitu?

SOMA ZAIDI: Kitu Hiki kitatokea Pale Utakaposema Haiwezekani

Tukutane kwenye jukwaa la wanamafanikio.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X