Karibu sana.
Tuna mfumo wa kutoa mafunzo zaidi kwa watu wachache ambao wapo siriazi na wanataka kupiga hatua zaidi kwenye biashara au wale wanaotaka kufanikisha malengo yao kwa kishindo. Mafunzo haya yanatolewa kwa mfumo wa
- Makala
- Ebooks
- audio programs
- au video
Na ni maalumu tu kwa ajili ya watu wachache tu ambao wanataka kupiga hatua zaidi. naamini na wewe ni mmoja wa wale wanaotaka kupiga hatua zaidi. ili kupata mafunzo haya unapaswa kulipia gharama kidogo. Ndio maana tangu mwanzo nimesema kwamba haya mafunzo siyo ya kila mtu. ni watu wachache tu ambao wanataka kupiga hatua zaidi ya hapa.
Gharama ya kujiunga na mafunzo haya ni 10,000 kwa mwezi.
- Ila ukilipia kuanzia miezi mitatu kuna punguzo la asilimia 10. Hivyo utalipia elfu 27000 badala ya elfu 30.
- Ukilipia kwa miezi sita kutakuwa na punguzo la asilimia 20. Hivyo, utalipia elfu 48,000 badala ya elfu 60.
- Na ukilipia kwa mwaka mzima kutakuwa na punguzo la asilimia 30. Hivyo utalipia 84,000 badala ya 120,000
Mafunzo haya maalumu yanatolewa kwenye kundi letu maalumu la whatsapp.Ukiwa kwenye kundi hili;
- Kila siku utapokea makala moja yenye mafunzo ya kina
- Kila jumapili utapokea ebook moja yenye uchambuzi wa kitabu, au andiko liliojadili mada fulani kwa kina kuhusu biashara, malengo au vipaji
Mfano wa ebook kama hiyo ni ebook ya MITAJI 8 ILIYOKUZUNGUKA NA JINSI YA KUITUMIA. Ebook hiyo inauzwa kwenye dula letu hapahapa kwenye hii tovuti, ila ukijiunga na programu hii, ebook kama hizo zote utazipata bure kila jumapili
- inaweza kutokea kwamba jumapili ukatumiwa audio au video itakayokuwa inahusu jambo fulani hasa kuhusu biashara badala ya ebook.
- Sambamba na hilo utakuwa na nafasi ya kunipigia na kuongea nami kwa ajili ya ushauri zaidi muda wowote utakapohitaji.
Ili kujiunga na kundi hili na jumuiya hii ya kipekee inayojulikana kama THINK BIG FOR AFRIKA, wasiliana na 0755848391 ili uunganishwe.
Ada yako inaanza kuhesabika pale unapolipa na muda huohuo ndipo unaungwa kwenye kundi
NB:Namba ya malipo ni 0755848391 jina ni GODIUS RWEYONGEZA
Ukijiunga na programu hii, utakuwa unapokea ebook moja kila wiki kama hii hapa chini.