-
Uvaaji wa headphones ni faida kwa wavaaji au ni hasara?
Tunaishi kwenye dunia ya kipekee sana. Mara paap, headphones hizo hapo tunazo na tunatamba nazo. Unaweza kuzivaa kwenye daladalaKwenye usafiri wowote wa umma au wa binafsiUkiwa unatembea Na hata ukiwa ofisini au nyumbani. Leo nataka tujadiliane kwa pamoja kwamba uvaaji huu wa hizi headphones ni wa faida au hasara Ni jambo la wazi kuwa…
-
Kama huwezi kupaa, kimbia
RAFIKI yangu mpendwa salaam, nichukue nafasi hii kukupongeza kwa kazi nzuri unayofanya. Moja ya kitu ambacho kimekuwa kinawakwamisha watu wengi kuandika ni kwa sababu hawana vifaa vya kuandikia. Ukweli ni kuwa muda mwingine si kwamba unahitaji kuwa na vifaa vya kipekee sana ili uandike, bali unapaswa uanze kuandika kwa kutumia vifaa ulivyonavyo. ANZA KUANDIKA kwa…
-
UNAMUONA DADA HUYO?
UNAMUONA DADA HUYO? Wengi huwa likija suala zima la kuandika kitabu huwa wanapenda kuniuliza kuwa ni wapi wanaweza kupata wazo la kuandika kitabu. NImekuwa nikieleza mara kwa mara namna ya kupata wazo la kuandika kitabu. Na moja ya njia ambayo unaweza kutumia kwenye kupata wazo la kuandika kitabu ni ikama alivyofanya huyo dada hapo juu.…
-
Kama Isingekuwa Pesa, Ungekuwa Unafanya Unachofanya sasa
Anaandika GODIUS RWEYONGEZA Wasiliana naye wasap hapa Mwaka juzi taarifa zilisambaa mtandaoni kwamba mchungaji mmoja huko nchini Uganda ameacha uchungaji baada ya kushinda milioni 100 kupitia kubeti. Kwa maneno yake huyu mchungaji alisema kwamba alikuwa anafanya kazi ya uchungaji kwa sababu hakuwa na fedha. Hiki kinatafakarisha sana. Kumbe tuna watu wanafanya vitu ambavyo hawapendi, na…
-
Biashara ni Mkakati, Wa Kwako Ni Upi?
Biashara huwa zinakuwa na mkakati wa biashara. Inawezekana wewe mwenyewe hujui kwamba una mkakati kwenye biashara, lakini kutoujua mkakati huo, haimaanishi kwamba haupo. Upo tu, tena umejaa tele. Mkakati wa biashara tunaweza kuuona kwenye namna unavyofanya shughuli zako kwenye biashara yako. Sasa swali ni je, mkakati wa biashara unapaswa kugusa kitu gani na kitu gani?…
-
SIAFU: Viumbe Wadogo Akili Nyingi. Mambo 12 Ya Kujifunza
Moja ya viumbe ambao wanatafakarisha sana ni siafu. ni viumbe wadogo lakini wanafanya mambo makubwa. Leo hii nataka tuzame kwenye namna wanavyofanya kazi na masomo ambayo tunaweza kujifunza kwa viumbe hawa wadogo, viumbe wadogo wanaofanya makubwa. 1. Kufanya kazi, wanafanya kazi mpaka usiku. Viumbe hawa sijajua huwa wanalala saa ngapi, ila wanafanya kazi mchanana usiku.…
-
MTAJI:Kila Kitu Unachohitaji Kujua
Kwenye kitabu chake Cha MAISHA NI MTIHANI, Fr. Faustine Kamugisha anatupa tafakuri moja nzuri sana. Anasema maisha ni MTIHANI. Ukiwa na chakula ni MTIHANI, usipokuwa nacho ni MTIHANI pia. Ukioa ni MTIHANI na usipooa ni MTIHANI pia. Ukiwa na ndugu ni MTIHANI ila usipokuwa nao ni MTIHANI pia. Fr. Kamugisha kaainisha vitu ambavyo ni MTIHANI,…
-
Unapokosea Wewe Ni Hapa
Kwenye makala ya Jana nilisema kwamba kabla hujamchagua kiongozi yeyote mwaka huu, JICHAGUE MWENYEWE kwanza. Una dira ya miaka mitano ijayo, kama huna iweke Kisha JICHAGUE na kila siku ukiamka kwa miaka mitano itekeleze. Sasa Moja ya KITU ambacho Watu wanajiambia ni kuwa nikifa je? Ni bora nisiweke mipango ya miaka mitano maana naweza kufa.…
-
Mchague Huyu Mtu. KURA YAKO UTAKUWA UMEITUMIA VIZURI SANA
Mwaka 2025 kwa hapa kwetu Tanzania ni mwaka wa UCHAGUZI. Na tayari hivi ninavyoandika hapa kampeni zimeanza nchi nzima. Wagombea wote wanajinanadi uwachague waende kukuwakilisha kwa miaka mitano ijayo. Mtu yeyote anayekuja kwako kuomba kuchaguliwa lazima tu atakuja sera. Atakuuzia wewe sera, ukiona zinafaa maana yake utanunua hizo sera kwa kumpigia kura. Unapomchagua mtu yeyote,…
-
KHERI YA MWEZI SEPTEMBA: MWAKA 2025 HAUJAISHA MPAKA UISHE
Leo ni tarehe 1.9.2025, ni siku ya 244 tangu tuuanze mwaka huu wa kipekee, inawezekana mwaka huu uliuanza kwa mbwembwe nyingi, lakini sasa tunapokaribia mwishoni mwa mwaka huu ukijitafakari unajiona wapi? Ni hatua zipi ambazo umeweza kupiga mpaka sasa, ni wapi unaelekea. Ukweli ni kuwa hata kama mwaka huu unaonekana kwenda, hii haimaanishi kwamba huwezi…
-
Kuandika ni Kutunza Kumbukumbu
Marcus Aurelius alikuwa na utaratibu wa kuandika kwenye notebook (tuiite hivyo) kila siku. Kila siku aliandika kitu alichojifunza, iwe ni kitabuni au kutoka kwa watu aliokutana au katika vyanzo vingine.Kile ambacho mwanzoni alikuwa anaandika kwa ajili yake, baadaye kilikuja kuonekana ni cha msaada mkubwa, mpaka maandiko yake yakakusanywa kwenye kitabu kimoja ambacho leo hii kinafahamika…
-
Mafanikio Katika Biashara
Ili uweze kufanikiwa katika biashara yako kuna mbinu na hatua za kufuata. Ndani ya ebook hii kuna mbinu na hatua madhubuti za kuzingatia katika mafanikio ya biashara yako. Soma kupitia hapa Zingatia mambo yafuatayo soma zaidi; Kitu Kinachofanya Mabadiliko Kuwa Magumu Kwenye Biashara Yako
-
Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuongez Kujiamini
Rafiki yangu mpendwa, watu wengi wamekuwa wanahangaika sana na kujiamini. wengi huwa wanakosa kujiamini hasa wanapokuwa mbele ya watu. Kwa kulifahamu hilo, nimeandaa ebook fupi yenye suluhisho juu ya hili tatizo ambalo limekuwa linawakumba watu wengi. Ebook hii unaweza kuipata kirahisi sana kupitia link hii hapa BONYEZA HAPA KUPATA EBOOK yako Asante sana
-
Ushauri wa Bilionea Pavel Durov Kuhusu Kozi Ya Kusoma Chuo
Pavel Durov ambaye ni bilionea na mwanzilishi wa telegram kwenye channel yake ya telegram ametoa ushauri kwa wanafunzi ambao wanatafuta kitu gani cha kusoma. Anasema hivi, Ikiwa wewe ni mwanafunzi unayechagua nini ubobee, basi chagua HESABU. Itakufundisha kutegemea akili yako mwenyewe bila kuchoka, kufikiri kwa mantiki, kugawa matatizo vipande vipande, na kuyatatua hatua kwa hatua…
-
Jinsi Ya Kuandika Kitabu Kirahisi Hata Kama Uko Bize
Kuandika kitabu ni ndoto ya watu wengi, lakini mara nyingi hukwamishwa na sababu moja kubwa: “Sina muda.” Lakini je, kweli muda ni kikwazo au ni kukosa mbinu sahihi za kutumia muda tulio nao? Siku za nyuma nimewahi kuandaa video YouTube yenye kichwa cha “Jinsi ya kuandika kitabu kirahisi hata kama uko bize”, kama hujawahi kuiangalie…
-
Nini Cha kufanya unapokutana na changamoto.
Hongera sana kwa kuendelea kupambana rafiki yangu. Kwenye MAISHA Kuna wakati mambo yanakuwa yanaenda ndivyo sivyo. Mipango Yako unaenda kinyume na matarajio Yako. Leo ningependa nikwambie tu, inapotokea mipango Yako umependa kinyume, fahamu kuwa 1. Unapaswa kukaa chini na kujitafakari upya. Kushindwa au kuanguka si KITU kibaya, ubaya ni pale unapokataa kukaa chini na…
-
Salaam za semina na pongezi kutoka kwa washiriki wote wa semina wa biashara na Uwekezaji 2025
Rafiki yangu mpendwa, salaam. Leo ningependa tu kukutaarifu kuwa semina yetu ya biashara na Uwekezaji imeweza kufanyika kwa kishindo kikubwa sana. Semina hii ya pekee imefanyika tarehe 28 na 29 kwenye ukumbi wa KINGSWAY HOTEL MOROGORO MJINI Washiriki wametoka pande mbalimbali za Dunia kuja hapa Morogoro kujifuñza maarifa sahihi ya biashara na Kila KITU kimekwenda…
-
Jinsi ya kuchagua Watu Sahihi na Vitabu Sahihi Kwa Maendeleo Yako Ya Miaka Mitano Ijayo
Katika makala ya jana rafiki yangu. Niliandika Siri ya Mabadiliko ya Kweli. Miaka Mitano Ijayo Utakuwa Jinsi Ulivyo Isipokuwa Kwa Vitu Hivi Viwili. Baada ya kuelewa kuwa watu unaokutana nao na vitabu unavyosoma vina mchango mkubwa katika kukufanya mtu tofauti baada ya miaka mitano, swali linalofuata ni: unawachaguaje watu sahihi? Na unachaguaje vitabu vitakavyokujenga kweli?…
-
Siri ya Mabadiliko ya Kweli. Miaka Mitano Ijayo Utakuwa Jinsi Ulivyo Isipokuwa Kwa Vitu Hivi Viwili
Katika safari ya maisha, watu wengi hutamani kubadilika, kuboresha maisha yao, na kufikia mafanikio makubwa. Lakini wengi hukata tamaa baada ya miaka kupita bila kuona tofauti kubwa. Swali ni: kwa nini baadhi hubadilika na kupiga hatua, huku wengine wakibaki vilevile? Msemaji na mwandishi maarufu, Charlie “Tremendous” Jones, alitoa kauli yenye nguvu sana: “Miaka mitano kuanzia…
-
Kama haliwezekani kwao, haimaanishi kwamba haliwezekani kwako
Rafiki yangu jambo ambalo watu wengine wanafikiri kwamba haliwezekani kwako siyo kwamba haliwezekani bali linawezeakana. Inawezekana jambo hilo haliwezekani kwao, lakini siyo kwamba haliwezekani kwako. Hivyo, basi zamu ijayo ukisikia mtu anakwambia kwamba jambo hilo haliwezekani, basi jua kwamba linawezekana vizuri tu. Leo nimekuandallia ebook nzuri sana kuhusu hili suala la kuwezekana. Naomba uisome hapa.