KUHUSU TOVUTI HII


Songambele Blog ni maalumu kwa kwako wewe ambaye ungependa kupiga hatua na kufikia mafanikio makubwa kimaisha. Iwe ni kwenye ndoto, kipaji au kitu chochote ambacho umedhamiria kufanya. Songambele Blog ni maalumu kwa kwako wewe ambaye ungependa kupiga hatua na kufikia mafanikio makubwa kimaisha. Iwe ni kwenye ndoto, kipaji au kitu chochote ambacho umedhamiria kufanya.

Kadiri utakavyoendelea kujifunza kupitia blog hii hapa, utagundua kwamba una mambo mawili ya kufanya linapokuja suala zima la ndoto, malengo na mafanikio makubwa unayotaka. Unapaswa kupambana ili uyafikie au ufe ukiwa unapambania ndoto zako na siyo chini hapo.

KUHUSU MWANDISHI:

Godius Rweyongeza

Godius Rweyongeza ni mwandishi wa vitabu, mjasiriamali na mhamasishaji. Amekuwa akifanya kazi hii kwa miaka takribani mitano sasa.

Vitabu vyake vimesaidia watu wengi na kuwainua wengine kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Kwenye blog hii hapa mwandishi atakuwa akikushirikisha mbinu mbalimbali za mafanikio na jinsi ambavyo unaweza kuzitumia wewe pia kufanikiwa. Je, upo tayari?

Eliud Ishengoma Elias

Eliud ni mwandishi na mhamasihaji wa kitanzania. kazi zake ambazo amefanya zimewasaidia wengi kupiga hatua kwenye maisha yao

X