SEMINA


Rafiki mpendwa, Hongera kwa safari yako ya mafanikio hadi leo!

Tuna furaha kukualika katika semina yetu ya kipekee ya kukuza biashara na uchumi mwaka 2024!

Kila mwaka, tunajitahidi kuandaa hafla hii ya kipekee ili kujenga jamii ya watu wenye lengo moja: kufikia mafanikio makubwa.

Tulipoitisha semina mwaka jana hapa Morogoro, ilifanyika kwa mafanikio makubwa. Lakini kwa mwaka huu, tumeamua kuchukua hatua kubwa zaidi. Tunakwenda Dar Es Salaam, Ubungo!

: • Mahali: Ukumbi wa Landmark Hotel, Dar Es Salaam.
• Tarehe: 29.6.2024
• Mada Kuu:
> Jinsi ya Kukuza Biashara Yako Mara Mbili Zaidi Ndani ya Mwaka Mmoja.
> Njia za Kujenga na Kukuza Uchumi Binafsi.
> Mkeka wa Uwekezaji Utakaoleta Mabadiliko Makubwa Maishani Mwako.
> Gia za Biashara Na KIFEDHA kwa Wenza.
> Kampuni ni Dhahabu: Taratibu za Kusajili Kampuni, Aina za Kampuni, na Kwa Nini Unapaswa Kuwa na Kampuni Yako Sasa.

•* Mambo Unayoyatarajia:*
> Kukutana na Watu Wengine Wenye Hamu ya Kufanikiwa na Wafanyabiashara Wanaofanya Mambo Makubwa.
> Kuongea na Godius Rweyongeza na Kuweka Mpango wa Kazi Kwa Mwaka Ujao.
> Kupokea Kitabu na Flash yenye Mafunzo Bure. > Kufurahia Vipindi vya Vyakula: Breakfast, Chakula cha Mchana na Jioni.
> Kupata Usimamizi wa Karibu Kwa Mwaka Mmoja. Ada ya Semina: Ada ya kushiriki katika semina hii ni shilingi laki moja (100,000).

Utaratibu wa Malipo: Unaweza kulipia kwa njia zifuatayo:
• Kulipia Yote Mara Moja.
• Kulipia Kidogo Kidogo Kila Mwezi (Elfu 40).
• Kulipia Kila Wiki (Elfu 10).
• Kulipia Kila Siku (Elfu 2).

Jinsi ya Kulipia: Namba ya Malipo: 0684408755 (Jina: Godius Rweyonggeza)

Fanya uamuzi sahihi leo na uhakikishe unapata nafasi yako.
Maana muda ni sasa!

Jiandikishe sasa na uwe tayari kwa kuleta mabadiliko makubwa maishani mwako! karibu katika safari ya mafanikio! https://chat.whatsapp.com/CAdCnW82i8N0clD2fDvn7v

Huduma kwa Wateja: Tafadhali wasiliana na sisi kwa
+255 655 848 392 au +255684 408 755 au simu +255 678 848 396 kwa maswali au maelezo zaidi.

Wakati wa kubadilisha maisha yako ni sasa! Tuko tayari kukuongoza kwenye safari hii ya mafanikio

X