-
Watu 60 Walioshindwa Karibia Kwenye Kila Kitu Na Bado Wakashinda Kwa Kishindo
Watu 60 Walioshindwa Karibia Kwenye Kila Kitu Na Bado Wakashinda Kwa Kishindo Katika maisha, kila mmoja wetu anakutana na changamoto, vikwazo, na kushindwa mara kwa mara. Lakini je, unajua kuwa watu wengi maarufu na wenye mafanikio makubwa walipitia hali ngumu zaidi, kushindwa tena na kabla ya kufanikiwa kwa kishindo? Kitabu hiki “Watu 60 Walioshindwa Karibia…