-
Nukuu 16 Za Kufikirisha
1: 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9. 10. 11. 12. 13. 14. 15. 16.
-
Njia Ya Uhakika Itakayokufanya Usitapeliwe Na Mtu Yeyote
Vijana wengi wamekuwa wanatapeliwa kwa kuambiwa fursa ambazo siyo za kweli. Leo hii nakuletea, njia ya uhakika ya wewe kutotapeliwa na mtu yeyote. Njia hii nimeieleza kwa kina kwenye video husika hapo juu.
-
Njia ya uhakika ya wewe kuwa na maisha bora
Wengi wanapenda sana kuwa na maisha bora na kuishi maisha bora, hata hivyo wengi wamekuwa hawajui ukweli kuhusu njia bora na ya uhakika ya kuishi maisha bora. Kitu hiki kimewapelekea wengi kuishi maisha ya kawaida sana na hivyo kushindwa kufikia hayo maisha wanayotamani. Sasa leo nipo hapa kukwambia jambo moja la muhimu sana kuhusiana na…
-
Hii ndiyo sifa kubwa ya kitabu unachopaswa kuandika
Rafiki yangu, sifa moja kubwa ya kitabu unachopaswa kuandika ni kwamba kitabu chako kinapaswa kujikita kwenye kujadili mada moja kwa undani zaidi. Mtu anapochukua kitabu, tunategemea kwamba anapaswa kupata maarifa ya kina kuhusiana na kile ambacho umeandika. Si jambo zuri kuandika kitabu cha kila kitu. Ndiyo maana huwa tunaandika kitabu cha pili au cha tatu…