Ni kawaida ya watu wengi sana kutoa zawadi ka wayu wengi tuwapendao msimu kama huu wa krismasi. Hasa kwa tar 26 ambayo ndio sjku maarumu ya kufungua zawadi. Mwaka huu ushajiuliza utampa nini mtu ambaye unampenda. Songa mbele blog imekuletea zawadi nzuri ambayo unaweza kumpa umpendaye na zawadi hii itadumu kwa kipindi chote maisha ya yule ambaye umemununulia. Zawadi hii ni ipi? Zawadi hii ni kitabu cha BIASHARA NDANI YA AJIRA. Hiki ni kitabu kizuri kwa mtu ambaye amejipanga na kajiwekea malengo 2017. Ambaye hataki utani ndani ya mwaka 2017. Mtu anayetaka kuuona mwaka 2017 ukiwa wa mafankio makubwa sana kwake. Hii ndiyo zawadi (kitabu ) ambayo unaweza kumpa baba, mama, rafiki, ndugu jamaa yako na yeyote umpendaye.
Kitabu kitanisaidia nini?
Najua mwingine atajiuliza kitabu kitanisaidia nini mimi au yule nimpendaye?
Kiukweli utamu a ngoma sharti uingie ucheze. Na uzuri ulio katika kitabu hiki sharti upate nakala yako na uisome ila hapa nitaweka baadhi ya mambo ambayo utayapata kama utackuwa na nakala yako
1. Kutimiza malengo.
Kitabu hiki kina mambo mazuri ndani yake kama nilivyotangulia kusema mwanzoni mwa makala hii
Je wajua kwamba unaweza kuwa na siku mbili ndani ya siku moja?
Je wajua kwamba kuna dakika nyingi sana ambazo huwa tunazipoteza kila siku?
Kujua haya mengine mengi ambayo yameandikwa kwenye kitabu hiki kuhusu maliasili hii adimu ya muda wasiliana na mimi ili kuchukua nakala yako sasa upate kujifunza zaidi?
4. upi ni uovu bora zaidi?
Kuna watu wangependa kuanza biashara mwaka 2017 ila wanajiuliza maswali
Je niache kazi nifanye biashara?
Je nitafanyaje biashara nikiwa ndani ya ajira?
Mbona mimi nimeridhika na kazi yangu na mshahara unanitosha?
Mbona mimi sihitaji kuingia kwenye biashara sasa hivi?
Kwa majibu hayo na mengine mengi tafadhari wasiliana na mimi kujipatia nakala.
Je kitabu nitakipata wapi?
Kitabu hiki kinapatikana na unaweza kukipata popote pale ulipo nchini.
Kitabu kinapatikana kwangu GODIUS RWEYONGEZA. Unaweza kuwasiliana na mimi kupitia
0755848391
godiusrweyongeza1@gmail.com
Lakini pia unaweza kuwasiliana na mwandishi wa kitabu hiki ambaye ni MAKRITA AMANI kwa namba
0755953887
Gharama ya kitabu ni 10000 kwa wale wa MOROGORO. Lakini kwa wale ambao watahitaji kusafirishiwa kitabu mtatuma shilingi 15000 ambapo shilingi 10000 ni ya kitabu na 5000 ni gharama ya usafirishaji.
Unaweza kulipia kupitia mpesa kupitia 0755848391 jina ni GODIUS RWEYONGEZA
Lipa sasa ujipatie nakala yako
ya kitabu sasa.
Muda ni sasa pata nakala yako sasa hakuna muda mwingine.
Ili upate makala maalumu kutoka songambele blogu BONYEZA HAPA ILI KUJIUNGA
0755848391