Jambo La Kuomba Kila Siku


Solomon alizaliwa kwenye miaka ya 974 K.K
Alikuwa mfalme wa Israel akiwa na miaka 12.
Mungu alimtokea solomon na kumwuliza anaomba nini cha kumsaidia kwenye uongozi wake.
Solomon  alisema anataka kujaliwa busara.
1 Wafalme 3:9
1Mambo ya Nyakati 1:10
Mungu alimwambia kwa kuwa hajaomba Mali, utajiri, heshima, maisha marefu. Nitakupa vyote. Nitakupa maarifa, Mali, utajiri na heshima kuliko mfalme yeyote yule ambaye amewahi kuishi au atakayekuja kuishi baada yako.
Alichoahidiwa alikipata. Kwa nyakati za sasa tunaweza kusema kwamba Solomoni alikuwa trilioea. Yaani kwa ni sawa na kuwachukua akina Bill Gate 1000.
Omba busara.
Biblia imesema kwamba ombeni nayi mtapewa, tafuteni nanyi mtapata, bisheni nanyi mtafunguliwa.
Kumbe usiishie tu kuomba busara, Bali itafute. Itafute kwa kusoma vitabu vunavyohekimisha.
Utafute kwa kusikia busara za watu waliofanya vitu kama vile ambavyo unataka kufanya, jifunze kutoka kwa watu.
Donald J Trump anasema “we sona vitabu, busara zutakuja tu”.
Kumbe soma, soma, soma.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X