Habari za leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa makala za SONGA MBELE. imani yangu umeianza siku yako vyema sana kwa namna ya tofauti na unaenda kufanya kitu cha tofauti sana. Karibu sana katika makala ya leo. Ambapo ninaenda kukuelezea juu ya semina ya KUTIMIZA MALENGO NDANI YA MIEZI SITA.
Nina mpango wa kuendesha semina kwa njia ya mtandao (kupitia wasapu) kuanzia tarehe 15 mwezi wa saba mpaka tarehe 19 mwezi wa saba. Semina hii itaendeshwa kupitia kundi la wasapu la HAZINA.
Ndani ya semina hii utapata kujifunza mambo yafutayo.
1. Ni kwa nini mpaka sasa hujatimiza malengo yako?
2. Kwa nini unapaswa kutimiza malengo yako mwaka huu na sio mwaka kesho
3. Hatua za kufanya ili kuweza kutimiza malengo yako kwa mwaka huu.
5. Jinsi ya kuweka malengo yako kwa wale ambao hawajaweka malengo ( utafundishwa hatua moja baada ya nyingine na utakuwa na uwezo wa kuweka malengo yako)
4. Kikubwa zaidi utafundishwa mfumo wa nyumba ( house system)
Mfumo ambao haujawahi kufundishwa katika nchi hii.
Mfumo wa nyumba ni nini?
Mfumo wa nyumba ni mfumo ambao nimeutumia kwa miezi sita iliyopita na umeniwezesha kutimiza malengo yangu ya mwaka mzima ndani ya miezi sita kwa asilimia 90%.
Mfumo huu wa nyumba utanyumbuliwa na kuelezwa kwa undani wakati wa semina.
JINSI YA KUJIUNGA NA SEMINA HII.
Semina hii itaendeshwa ndani ya kundi la wasapu la HAZINA. Gharama ya semina hii ni 20,000/-. Kundi la hazina ni tofauti na makundi mengine ya wasapu ambapo watu walio ndani ya kundi hilo wanalipia 20,000/- kila baada ya miezi sita. Kuwa ndani ya kundi la hazina utapata kuungana na watu wengine ambao wanautumia MFUMO WA NYUMBA, katika kutimiza malengo yao.
Lakini pia utakuwa karibu sana Mimi muda wote.
Kuwa ndani ya Kundi la HAZINA kutakusaidia kuhudhuria semina ya kuufungua mwaka ambavyo nitatoa mwanzoni mwa 2018 bure kabisa.
Gharama ya semina hii itatumwa kupitia namba M-PESA 0755848391. Namba hiyo imesajiriwa kwa jina la GODIUS RWEYONGEZA.
Ukiishatuma pesa nitumie ujumbe wenye neno HAZINA wasapu ili nikuunganishe kwenye kundi la HAZINA. Karibu sana,
Kumbuka kwamba kundi la wasapu linachukua watu wachache sana, na sitakuwa na uwezo wa kuendesha makundi mawili, hivyo kuepuka kuikosa semina hii unashauriwa kulipia mapema maana watu washaanza kulipia sasa.
Muda ni sasa, chukua hatua.
Ili upate makala maalumu kutoka songambele blogu BONYEZA HAPA ILI KUJIUNGA