Aliyefunga Goli Ni Mmoja Ila Timu Nzima Hushangilia


Habari za siku ya leo Rafiki yangu na ndugu msomaji wa blogu yako ya songambele karibu sana, katika makala hii siku ya leo ili kwa pamoja tujifunze kitu kipya. Tujifunze kitu ambacho lazima kitatuinua na kutupeleka sehemu nzuri sana.

Je, umewahi kujiuliza kitu gani huwa kinatokea katika Mpira wa miguu? Hasa pale anapofunga goli MTU mmoja na wengine, wakaibuka na kuanza kushangilia. Au umewahi kujiuliza kwa nini MTU mmoja (golikipa), akifungwa wachezaji pamoja na mashabiki kwa pamoja wanahuzunika.

Yaani kati ya watu ambao nimewahi kuona wakionesha umoja ni wachezaji wa mpira wa miguu. MTU mmoja akifunga goli timu nzima inapewa zawadi. Hawana umimi na binafsi. Hiki ni kitu muhimu sana ambacho, kinahitajika kwa kila MTU, kila kikundi na kila jumuiya. Umoja ni ushindi.

Nyumba imepgiliwa na misumari mingi sana, ila msumari mmoja ukilegea unaweza kusababisha nyumba nzima kupoteza paa na kuanguka, kutokana na upepo. Huu ni mfano mzuri ambao unatuonesha umuhimu wa umoja na ushirikianoNakubaliana na ukweli kwamba gari limetengenezwa na nati nyingi sana, ila ukosefu wa nati moja unaweza kusababisha gari kuvunjika au kupoteza vifaa vya muhimu sana kama magurudumu. Nati moja ina umuhimu mkubwa sana katika kuhakikisha kwamba, nyumba ipo.

Kumbe hata hapa ni mambo muhimu ya kuizingatia ili tuweze kuishi maisha ya umoja na hatimaye kupata ushindi.

1. Kuna nguvu kubwa sana katika umoja. Umoja unaweza kutufanya tuweze kufanikisha mambo makubwa sana. Uongozi mzuri ni ule ambao umejengwa jui ya msingi waambavyo . Hapo ni muhimu sana kuyafahamu maneno ya Hellen Keller “peke yetu tutafanya machache, pamoja tutafanya mengi”. Utafute ushirikiano ili uweze kupiga hatua kubwa sana.

2. Umoja unaanzia kwako wewe mwenyewe. Huwezi kupata kitu ambacho unakichukia. Kama hauupendi umoja, na wewe mwenyewe sio mmoja katika akili yako, basi umoja kutoka nje utakuwa kitendawili.

3. MTU mmoja ni muhimu sana katika kutengeneza umoja, na kuufanya uweze kujengeka,  Kama ambavyo nati moja ni muhimu sana  kwenye gari. Au kama ambavyo msumari ni muhimu sana kwenye nyumba.

Tukutane kilelenikileleni

MUHIMU SANA;
Kuna semina ya ambavyo nimeipa kichwa cha TIMIZA MALENGO YA MWAKA MZIMA NDANI YA MIEZI SITA.  Ndio namaanisha miezi sita. Ndani ya semina utapata kujifunza mambo mengi sana yatakayokusaidia sana wewe kutimiza malengo yako mwaka huu. Kikubwa zaidi katika kutekeleza na kutimiza malengo yako nimekuja na mfumo Mpya ambao binafsi nimeutumia ndani ya miezi sita na umenipa matokeo makubwa sana katika kutimiza malengo yangu. Mfumo huu unaitwa MFUMO WA NYUMBA (HOUSE SYSTEM). Huu ni mfumo Mpya hapa duniani, na binafsi nimeutumia umenipa matokeo makubwa. Naenda kuwa nakudadafulia mfumo huu kwa undani kwenye semina hii ambayo nitaiendesha. Kiufupi kosa mengine mwaka huu ila usikose kujifunza mfumo huu ambao unaitwa MFUMO WA NYUMBA.

Semina hii itaendeshwa kwa njia ya mtandao kupitia katika kundi la waspu la HAZINA.
Hii ni kutokana na hali ya kwamba

1. mtu yeyote anaweza kuhudhuria semina hii akiwa hata nyumbani kwake bila kutumia gharama nyingi za usafiri kuja huku nilipo Mimi.

2. Lakini pia kutokana na ukweli kwamba mtu yeyote yule ambaye Yupo kwenye kona yoyote ile ya dunia anaweza kuhudhuria semina hii.

3. Gharama za uendeshaji wa semina zinapungua hivyo kukuwezesha wewe kuweza kuhudhuria semina bila kikwazo chochote kile.

JINSI YA KUJIUNGA NA SEMINA HII.
Gharama ya semina hii ni kiasi kidogo sana cha 20,000/- za kitanzania. Hii ni gharama ndogo sana kulinganisha na kitu kikubwa sana ambacho unaenda kukipata ndani ya semina hii itakayoanza mwezi wa saba tarehe 15 mpaka tarehe 19.

Jinsi ya kulipia.

Tuma pesa kupitia namba ya voda MPESA 0755848391 yenye jina la GODIUS RWEYONGEZA. baada ya hapo nitumie ujumbe wenye neno HAZINA wasapu namba 0755848391. Ili niweze kukuunganisha kwenye mundi hilo tayari kwa ajili ya semina hii.

MANUFAA MENGINE YA KUNDI LA HAZINA.
1. Kwanza kabisa ni muhimu sana kufahamu kwamba kundi la hazina ni  tofauti na makundi mengine ya wasapu ambayo umeyazoea. Kundi hili lina watu makini ambao wapo tayari kuhakikisha kwamba wanatimiza malengo yao. Watu walio katika kundi hili huwa wanalipia elfu ishirini kila baada ya miezi sita kuwa katika kundi hilo.

2. Lakini pia kuwa katika kundi hili kutakuleta karibu sana na Mimi ambapo nitakuwa tayari kukusaidia na kuongea na wewe hapo muda wowote ule kuhakikisha kwamba unafikia Kile kilichobora zaidi.

3. Lakini pia nitahakikisha kwamba tunafanya kazi bega kwa bega ili kuhakikisha kwamba unatimiza Malengo yako ndani ya miezi sita.
Hii ni kutokana na ukweli kwamba kwa sasa siwezi kuwa kwenye kila kundi na kumsaidia kila mtu maana ninazo kazi nyingi sana ambazo zimenibana, hivyo kuwa kwako katika kundi la hazina ni kitu ambacho kitatufanya tuwe karibu sana muda wote.

4. Lakini pia utapata nafasi nzuri sana ya kuhudhuria semina ya kufungua mwaka 2018 bure kabisa. Hii ni kutokana na ukweli kwamba bado ada yako ya miezi sita itakuwa bado haijaisha hivyo utazidi kupata kilichobora sana kutoka kwangu.

Hivyo hakikisha kwamba haukosi nafasi hii adimu sana kwako kuweza kufanya mambo makubwa sana.

Hakikisha hauikosi nafasi hii adimu



Ni Mimi Rafiki na kocha wako
Kocha Godius Rweyongeza
0755848391
godius
Endelea kusoma makala za kuelimisha na. Kuhamasisha  kutoka kwenye blogu hii


Ili upate makala maalumu kutoka songambele blogu BONYEZA HAPA 
Kujiunga kundi la wasapu la SONGA MBELE BONYEZA HAPA

BIDEISM BLOG



Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X