Maswali na Majibu kuhusu Semina Ya Timiza Malengo Ya Mwaka Ndani Miezi Sita


Habari za leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa blogu yako ya songa mbele. Imani yangu, siku yako ni njema sana na unazidi kufanya makubwa sana. Siku moja inaweza kukufanya kuwa mtu mkubwa sana, kama utaitumia kwa umakini mkubwa sana.

Baada ya kutangaza uwepo wa semina ambayo itaendeshwa kwa njia ya mtandao mwezi wa saba kuanzia tarehe 15 mpaka tarehe 19 kumekuwa na maswali mengi sana ambayo yamekuwa yakiulizwa.

Kabla sijaendelea, kwa wewe ambaye ni kwa Mara yako ya kwanza kusikia habari hii, napenda kukutaarifu kwamba nitaendesha semina kwa njia ya mtandao. Semina hii nimeipa kichwa cha TIMIZA MALENGO YA MWAKA NDANI YA MIEZI SITA.

SOMA ZAIDI HAPA;  SEMINA: TIMIZA MALENGO YA MWAKA NDANI YA MIEZI SITA

Ni kutokana na uwepo wa semina hii basi, yamejitokeza baadhi ya maswali ambayo ndiyo naenda kuyajibu, leo hii.

1. Ni kweli nitaweza kutimiza Malengo ya mwaka ndani ya miezi sita?
Jibu ni ndio. Ni kweli utaweza kuyatimiza Malengo yako ya mwaka mzima ndani ya miezi sita kutokea siku utakapopata semina. Hii ni kutokana  na mfumo wa ambao naenda kukufundisha utakusaidia kuweza, kupangilia vitu vyako na kuweza kufikia hatua kubwa sana. Mfumo wa nyumba ni mfumo mzuri sana kwa mtu ambaye anahitaji kutimiza Malengo yake. Kama utatumia niitakachokwambia ndani ya miezi sita bila kufikia Malengo yako kwa asilimia 90 ndani ya miezi hiyo nitakurudishia ada yako ya Semina.

2. Mfumo wa nyumba ukoje?
Mfumo huu mpya, na ni mara ya kwanza utakuwa unafundishwa, hivyo nakukaribisha sana kwenye kundi la hazina ili uweze kujifunza juu ya mfumo huu na jinsi unavyofanya kazi. Kama una mpango wa kukosa vitu mwaka huu, basi usikose semina hii. Ili uweze kujifunza mfumo huu. Mfumo huu unakufaa sana. Ni ndani ya semina hii pekee utapata kujua ulianzia wapi? Unaendeshwaje? Na utawezaje kukufanya uweze kufikia hatua kubwa sana kimafanikio.

3. Lakini Mimi sijawahi kuwa na Malengo hata kidogo, sasa nitaanzaje kuishi maisha ambavyo hayana Uhuru.?

 Kiufupi ni kwamba maisha ambayo hayana uhuru ni maisha bila malengo. Kama unataka kuishi maisha amabayo yamepangiliwa na Malengo ndio yenye uwezo wa kufanya hivyo.

4. Mbona gharama ya semina ni kubwa sana?.
Asante sana Rafiki yangu kwa swali lako, zuri sana. Gharama ya semina sio kubwa sana kulinganisha na kitu kikubwa sana ambacho utakipata, kutoka kwenye semina.
Kiufupi ni kwamba semina hii ina thamani zaidi ya hiyo gharama hiyo.

Kikubwa zaidi utaweza kukaa katika kundi la hazina ka miezi sita. Na utapata nafasi ya kupewa  masomo muhimu sana ambayo yanatolewa kila wiki.

5. Mbona Mimi tayari nimeweka Malengo makubwa mwaka huu!
Ndio katika Semina hii utafundihwa kitu kinaitwa MARA KUMI ZAIDI. Kiti ambacho kitakusaidia kufikia Malengo yako Mara kumi zaid ya hivyo ambayo umeyaweka sasa.

Karibu sana uweze kujiunga na semina hii ya mtandao. Jiinsi ya kujiunga na Semina hii.

Tuma pesa kupitia MPESA au TIGO PESA  kwenda namba 0755848391. Majina ya namba hiyo ni GODIUS RWEYONGEZA.

Baada ya hapo tuma ujumbe wenye neno hazina kwenda namba 0755848391. Ili uunganishwe. Mwisho wa kulipia semina hii ni tarehe 07/07/2017. Karibuni sana.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X