HII NI BARABARA AMBAYO UNAWEZA KUICHUKUA MAISHANI


Kuna mwanamziki mmoja aliwahi kusema kwamba “maisha ni safari, na ya kwangu ishanoa nanga”.
Bila shaka safari ambayo anaizungumzia hapa sio safari nyingine bali safari ya kutoka sehemu moja ya chini na kwenda sehemu nyingine ya juu kabisa. Na hii inaweza kudhibitishwa na ukweli kwamba mwanadamu ni mtu ambaye siku zote anakua. Yaani tangu siku ya kwanza mbegu ya kiume inapokutana na yai la kike. Ni kutokana na muunganiko  wa mbegu ya kiume na yai la kike tunakuja kumpata MTU mwenye kila aina ya hazina. Mtu ambaye ana kila raslimali ndani yake.

Hii ni kuonesha kwamba hapa kuna safari ambayo imesafiriwa na hizi mbegu mpaka kuja kutengeneza kiumbe kinachoitwa binadamu.

Na ndio safari hii ambayo ninakualika hapa uiendeleze kuisafiri. Safari hii haishii tu baada ya kuzaliwa bali lazima uiendelezem. Ndio amua kusafiri safari hii ili upige hatua kubwa sana maishani mwako. Safari hii ni SAFARI YA MAFANIKIO.

Najua utakuwa unashangaa. Mbona Mimi huwa nasafiri safari ya mafanikio kila siku? Hapa naweza kusema kwamba sio kweli? Sio kweli kwamba wewe unasafiri safari hii ya mfanikio kila siku. Hii ni kutokana na sababu zifuatazo.

1. Mawazo yako.

Kile unachakiwaza Mara nyingi ni hasi. Na kwa kuwa tunaishi katika ulimwengu unaoongozwa na sheria. Basi hasi siku zote hasi huzalisha hasi. Kama ulivyo ukweli kwamba chanya huzalisha chanya. Hivyo Mara nyingi unavuta kwako hasi. Unavuta vitu ambavyo havifai. Hii sio SAFARI YA MAFANIKIO.

2. Marafiki wako ambao unaishi nao, wanawaza nini juu ya maisha?
Huwa wanakwambia nini marafiki zako?
Mara nyingi unajihusiha na marafiki ambao hawakufai. Marafiki ambao muda wote wanakuvuta kukuondoa kwenye ramani ya dunia. Marafiki ambao wangependa kukuona unaanguka chini. Marafiki ambao hawapendi kukuona kwenye BARABARA YA MAFANIKIO.

3. Kazi unazozifanya unazipenda?
Unafurahia mahali ulipo?
Unajua kwa nini hufurahii hiyo sehemu ulipo?
Ni kutokana na ukweli kwamba hujaamua kutembea kwenye BARABARA SAHIHI. Ndio bara bara ya mafanikio.
Hujakanyaga BARABARA YA MAFANIKIO.

Baada ya kuyagundua hayo yote na mengine mengi ambayo yanakunyima uhondo wa maisha haya.
Mambo ambayo yanakufanya usafiri na kutembea ndani ya barabara ambayo sio sahihi.Mwandishi wa karne hii ya 21 EDIUS KATAMUGORA, akaamua kukuletea kitabu mkononi mwako,  ili sasa uweze kusafiri vizuri na ujue barabara gani unapaswa kuchukua.

Wapo watu wanasema Mimi ninaona barabara nyingi sana nashindwa nisafiri barabara gani?
Hahahah, sukuhisho lake ni dogo sana. Chukua kitabu cha BARABARA YA MAFANIKIO. Nina uhakika ukimaliza kukisoma utakuwa tayari umeona umeiona BARABARA
 sahihi ya MAFANIKIO.
Wengine wanasema mbona mimi nimezoea kutembea kwenye kichochoro?
Hapo nakwambia toka huko chukua Kitabu cha BARABARA YA MAFANIKIO na ukisome kwa ajili ya mafanikio yako.
Gundua barabara ambayo unapaswa Kusafiri. Wewe sio mtu wa kusafiri kwenye barabara za vichochoro!! Huko sio kwako! Sasa mbona unazidi kung’anga’ania sehemu ambayo sio sahihi?
Kwani huko kuna nini?
Gundua barabara yako ya mafanikio kwa kusoma Kitabu kimoja tu. Ndio ni Kitabu cha BARABARA YA MAFANIKIO.

Kitabu hili kinapatikana wapi?
Kitabu hiki unaweza kukipata kwa kuwasiliana na mwandishi wa Kitabu hiki (EDIUS KATAMUGORA) moja kwa moja. Kupitia nambari ifuatayo 0764145476 sasa.

Ndani ya Kurasa za Kitabu hili utaweza kugundua mambo mengi sana, ikiwa ni pamoja na barabara yako ya mafanikio.

Kadri unavyozidi kuchelewa kuchukua hatua za kununua Kitabu hili ndivyo unavyozidi kujichelewesha kufanikiwa

Kwa leo namalizoa kwa kusema hivi safiri  BARABARA YA MAFANIKIO.

Barabara ya mafanikio ni haki yako!

Wewe sio mtu wa kupitia vichochoroni?

Soma Kitabu hiki uishi kwa namna ya tofauti

TUKUTANE KILELENI.


2 responses to “HII NI BARABARA AMBAYO UNAWEZA KUICHUKUA MAISHANI”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X