KUWA– FANYA— PATA


(Thoughts lead to feelings which lead to actions then results.)

Watu wengi sana wamejengewa msingi wa kwamba kama ningekuwa na kitu fulani ningefanya hiki ili kupata lile. Hii sio kweli.
Mfano mtu anayesema kwamba kama ningekuwa na pesa ningenunua gari hivyo ningekuwa na furaha.

Sio kweli maana asili ya dunia ni kwamba nguvu ndiyo inavutia vitu kwake sio vitu vinavuta nguvu.

Hivyo unachohtaki ni kwamba unaitaji kubadilisha kauli hii ili uweze kuwa na maisha mazuri.
Anza kuwa na furaha fanya ili upate matokeo mazuri.

Thought lead to feelings which lead to Action which lead to results.

Kumbe kinachoanza ni mawazo. Kama Napoleon Hill anavyosema kwamba chanzo cha utajiri wowote ni wazo. Ruhusu mawazo safi yaingie akilini mwako.

Mawazo chanya  huleta hisia chanya na hisia chanya ndizo huleta matokeo chanya.

Lakini pia mawzo hasia huleta hisia hasi ambazo ndizo huleta matokeo hasi.

Hivyo kama unaona matokeo ambayo unapata huyapendi basi badilisha aina ya mawazo yako ambayo unaweka hili kuhakikisha unapata matokeoa unayotaka.

Godius Rweyongeza
0755848391
godiusrweyongeza1@gmail.com


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X