Uzuri unapofahamaika kwa dunia kama kitu Kizuri, kinakuwa kitu kibaya.
Busara zinapofahamikka kwa dunia kama kitu Kizuri, huwa uovu.
Kwa hiyo kuwa na kutokuwa huzaliana.
Ugumu na urahisi hukamilishana
Urefu na ufupi hutengenezana
Juu na chini hutofautishana
Mbele na nyuma hufuatana
Kwa kulifahamu hili basi utafanya kazi zako bila kuangalia watu wengine wanasemaje kwa kufuata sheria za asili.
Msukumo wa ndani ndio utakaokuongoza na kukusukuma kufanya kazi.
Utafanya kazi bila kutegemea mtu fulani aje kusaidia katika kazi zako.
Yaani wewe utakuwa dereva wa maisha yako*
Coach Godius Rweyongeza
0755848391
godiusrweyongeza1@gmail.com