Nani Anaweza Kuniambia Kichwa Cha Makala Hii?_


1.Safari ya maili mia moja huanza na maili moja.Ghorofa kubwa imejengwa kwa matofali hvyo chochote kikubwa unachohitaji kinaanza na hatua ndogo usikate tamaa

2.Kuna hazna tatu muhimu  unazoweza kuzitumia kwenye maisha yako.
  (@)ya kwanza ni huruma,kuwa na huruma.
  (@)hazina nyngne ni kutokutumia zaidi ya unachopata(ubahiri)
  (@)kutokwenda kinyume na sheria za asili.

3.Maneno ya kweli sio ya kufurahisha na maneno yanayofurahisha sio ya kweli.vitu vzuri havivutii watu na vitu vinavyovutia watu sio vizuri.watu wenye busara sio waliosoma na watu waliosoma sio wenye busara.

6. Vitu vnavyoonekana kwa nje n tofauti na vtu vilivyo kwa ndani ,kwa hyo usidanganyke na unachokiona kwa nje mara nyng unachokiona kwa nje n tofaut na unachokiona ndan

4.Jipange kwa ugumu wakati mambo bado ni rahisi dhibiti makubwa yakiwa bado madogo,mambo yote magumu yanaanza kwa urahisi na mambo yote makubwa yanaanza kwa udogo,unapoona mambo ni rahisi sana jua kuna wakati yatakuwa magumu

Coach Godius Rweyongeza
0755848391
godiusrweyongeza1@gmail.com


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X