Note book ni kitu muhimu ambacho unahitaji kutbea nacho kila mahali uendapo.
Hii itakusaidia
1. Kusoma na kurudia malengo yako Mara kwa mara.
Muda mwibgine unaweza kuanza kufanya vitu lakini kumbe vitu hivyo vipo nje ya malengo kwa kurudia kusoma malengo yako kutakufanya ubaki umeiweka akili yako kwenye lengo lako kuu.
2. Itakusaidia kuandika mawazo. Wakati unafanya kazi nyingine kuna mawazo mengi mazuri sana ambayo yatakujia, lakini kwa kuwa ule sio muda wake wa kuyasikiliza basi utayaandika pembeni kwa ajili ya kuja kuyapitia baadae.
Na
Coach Godius Rweyongeza
0755848391
godiusrweyongeza1@gmail.com