Huu Ndio Mchezo Ubaopaswa Kuufahami Katika Biashara


Habari ya siku ya leo rafiki yangu, imani yangu siku ya leo umeianza vyema sana. Hakikisha umejisemema maneno chanya juu yako aaubuhi ya leo.

Maisha ni mchezo ambao kila mtu anahitaji kuujua kuucheza vizuri ili mwisho wa siku kila mtu atayeucheza afurahie mchezo huo.

Biashara pia ni mchezo mzuri sana. Ukicheza vibaya unajiangusha mwenyewe na hatimaye utajitoa katika biashara.
Unahitaji kuujua mchezo huu wa biashara vizuri

Moja kati ya vitu vya muhimu sana katika mchezo huu wa biashara ni kucheza na watu unaowajili. Watu hao tayari wqna kila jibu unalolihitaji katika kuendesha biashara yako. Unahitaji kuwatumia vizuri sana watu wakusaidie katika kutimiza majukumu yako.

Waulize wanafanyaje? Kwa nini wanafanya hivyo? Kwa nini isifanyike kwa namna nyingine. Utashangaa wanakupa majibj mazuri ambayo hukuwa nayo hapo awali.
Lakini pia watafanya kazi vizuri na hayimaye kuweza kuiinua biashara yako. Cheza na watu watakupeleka mbali.

Soma zaidi; KONA YA SONGA MBELE; Sababu Zinazowafanya Watanzania Wazidi Kurudi Nyuma Linapokuja Suala La Mafanikio

Ulikuwa nami,
Kocha Godius Rweyongeza
Wewe Ni Zaidi ya ulivyo sasa.
Kujiunga na kundi la wasp la HAZINA YETU BONYEZA HAPA
Ndimi
Coach Godius Rweyongeza
godiusrweyongeza1@gmail.com
www.songambeleblog.blogspot.com
Ili kupata kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI  BONYEZA HAPA

Bonyeza hapa ili uweze kupata makala maalumu kila wiki.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X