TAARIFA MUHIMU; Mambo Kumi Ya Kuzingatia Kabla Ya Kuingia Katika Biashara.


Kwanza namshukuru Mungu ambaye amenijalia pumzi siku hii ya leo, ikiwa ni tarehe 07.oktoba 2017.
Hakika Mungu ni mkubwa sana na ninazidi kupumua huku nikisonga mbele. Bila shaka na wewe utakuwa mzima wa afya, kama unasoma hapa lazima utakuwa vizuri.

Baada ya wiki iliyopita kutoa mada iliyokuwa motomoto kupitia studio za SUA FM (101.1), mada ikiwa MAMBO MATANO YATAKAUOKUFANYA USIPOTEZE MOTISHA YA JANUARI MOSI.

Leo hii nitakuwa hewani tena nikieleza Mambo matano ya kuzingatia kabla ya kuanza biashara yoyote ile.

Najua mwaka huu ulisema nitaanza biashara,
Mwaka huu umekuwa kwa siku nyingi ukitafuta kujua ni kwa jinsi gani unaweza kuanzisha Biashara yako. Huu ndio muda muafaka. Mambo matano ya kuzingatia kabla kuanzisha biashara yatawekwa wazi siku hii ya leo. Ndani ya studio za Sua FM (101.1). Hakikisha kwamba unatenga muda wako kufuatilia kipindi hiki. Ni  kuanzia SAA kumi na moja leo jioni mpaka SAA kumi na moja na nusu. Chukua hatua sasa. Pangilia ratiba  yako vizuri sana.

Ni leo SAA kumi na moja jioni. Na ni leo tu.

Tukutane kileleni.

Wewe ni zaidi ya ulivyo.

Wewe Ni Zaidi ya ulivyo sasa.
Kujiunga na kundi la wasp la HAZINA YETU BONYEZA HAPA
Ndimi
Coach Godius Rweyongeza
godiusrweyongeza1@gmail.com
www.songambeleblog.blogspot.com
Ili kupata kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI  tuwasiliane kupitia 0755848391

Bonyeza hapa ili uweze kupata makala maalumu kila wiki.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X