TATIZO SI RASLIMALI ZILIZOPOTEA-20


Habari ndugu msomaji na mfuatiliaji wa makala murua za tatizo si raslimali zilizopotea. Imani yangu unazidi kufaidika mfululizo wa makala haya.

Kwa sasa nipo naweka utaratibu vizuri ili makala hizi endelevu ziendelee kukujia kwa ubora wa hali ya juu zaidi. Lakini pia nitaziweka kwenye blogu ili iwe rahisi wewe kuwa unazisoma kwa kurudia pale utakapozihitaji.

Kama ulikosa msimu wa kwanza wa makala haya, ambao ulikuwa unafuatana kwa mwezi wa tano mzima. Basi, usiwe na shaka, makala zote zitawekwa kwenye blogu na utapata kuzisoma vizuri.

Mwisho kitabu cha TATIZO SI RASLIMALI ZILIZOPOTEA,(sehemu ya kwanza) kipo kwenye maandalizi ya mwisho kama ambavyo unaona kwenye cover ya kitabu hapo juu. Jiandae maana kitakuwa kinapatikana muda si mrefu kwa 10,000 za kitanzania.

MUHIMU,hakikisha unajipatia kitabu cha KUTOKA SIFURI mpaka KILELENI (soft copy). Kitabu hiki kinapatikana kwa shilingi 10,000/- tu za kitanzania. Lipa pesa kwenda 0755848391.
Karibu sana
Ndimi, Godius Rweyongeza


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X