Hili Ni Kundi La Wasp Unalopaswa Kujiunga Nalo Leo Hii


Habari, kwa tumshukuru Mungu sayansi ya teknolojia inazidi kukua kila siku. Yaani inakua asubuhi, mchana na jioni. Kadri sayansi ya teknolojia inavyozidi kukua ndivyo watu wanavyokua na kuzidi kufanya makubwa zaidi.
Kwa sasa dunia inazidi kuunganika zaidi na makundi mbali mbali ya watu wenye mtazamo sawa sawia yanaundwa kila kucha. Ndani ya wasap kuna makundi mengi na watu wanayachangamkia kweli kweli. Yaani hakuna anayetaka kuachwa.
Binafsi makundi haya ya wasapu nayaita vijiwe. Zamani ilikuwa watu wanakutana kwenye vijiwe kupiga soga. Leo hii vijiwe vya wasapu vimekuja na mwonekano wa tofauti. Badala ya watu kutembea umbalo mrefu kwenda kwenye kijiwe, basi wanakutana vijiweni wakiwa majumbani mwao.
Kitabu hiki kipo wa ajili yako wewe.
Kwa tsh.10000 tu.
Mbali na ukweli kwamba watu bado wanaendelea kupiga soga katika vijiwe hivi.  Kuna wachache wanaotumia vijiwe hivi kujifunza. Na hawa wanaoutumia vijiwe hivi kujifunza ndio ninaowaita WASHINDI.
Hii ni kutokana na ukweli kwamba wameamua kuchagua kitu sahihi. Na wameamua kuutumia mitandao vizuri.
Kumbe kama kuna watu wachache walioweza kufanya hivi, wewe pia unaweza. Ndio maana nikaamua nikuandikie Makala haya ili ujifunze leo hii ujiunge na kundi sahihi.
Igundulike, sio kila kundi linakufaa. Na kama sio kila kundi linakufaa nasi unapaswa kuchagua. Chagua makundi sahihi ya kujiunga nayo, Kama ambavyo unachagua marafiki.
Na kwa kuwa kwenye makundi ndimo unatengeneza marafiki kutokea kila kona ya dunia basi unahitaji kuchagua. Chagua kuwa katika kundi la wanamafanikio. Na siku hii ya leo naenda kukuonesha kundi sahihi ambamo kama utajiunga maisha yako yote yatabadilika na utaanza kufikiri kwa namna ya tofauti. Utatenda kwa namna ya tofauti.
Kundi hili si jingine Bali ni kundi maarufu sana la HAZINA YETU TANZANIA🇹🇿🇹🇿.
hili ni kundi la
Kipekee linalokukutanisha na wanamafanikio KUTOKA kila kona ya dunia. Ndani ya kundi utapata kujifunza mambo mbali mbali kuhusu maisha, mafanikio, pesa, ujasiliamali ujasiliapesa kutaja ila machache.
Utapata Makala MAALUM KWA WATU MAALUM kila siku. Na utapata kuianza siku yako kwa hali ya uchanya kwa kusoma makala ya TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA.
Kila jumapili ndani ya kundi hili utapata kujifunza kupitia darasa la jumapili husika.
Aaah! Bado unataka niendeleee!
Basi, usijali nitaendelea sana kwa siku zijazo ndani ya kundi hilo hilooo la HAZINYA YETU TANZANIA🇹🇿🇹🇿.
CHA KUFANYA;
Jiunge na kundi hili sasa.
Jinsi ya kujiunga.
Kwa kuwa kundi hilo si la mchezo mchezo basi utapaswa kulipia kabla ya kujiunga.
Usishangae hata hivyo gharama yake ni ndogo sana, kiasi kwamba huwezi kuilinganisha na thamani unaoipata mle.
Gharama yenyewe ni elfu ishirini za kitanzania. Yaani 20,000/-
Gharmaa hii inalipwa kwenda namba 0755848391 jina GODIUS RWEYONGEZA
Baada ya hapo nitumie ujumbe wenye neno HAZINA ili nikuunge. Kwa hakika utafurahia mwenyewe kuwa katika kundi hili. Na utajifunza mengi.
Ebu chukua hatua sasa ili upate kujifunza ndani ya kundi hili.
Wewe Ni Zaidi ya ulivyo sasa.
Kujiunga na kundi la wasp la HAZINA YETU BONYEZA HAPA
Ndimi
Coach Godius Rweyongeza
godiusrweyongeza1@gmail.com
www.songambeleblog.blogspot.com
Ili kupata kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI  BONYEZA HAPA

Bonyeza hapa ili uweze kupata makala maalumu kila wiki.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X