Umekufa Mwaka Gani?


Siku bila kusoma Kitabu ni sawa na siku bila kupumua. Sasa jiulize leo hii ikiwa ni novemba 2017 umepitisha siku ngapi bila kusoma kitabu?
Je, mwaka huu umesoma vitabu mara ngapi?

Hii ni kuonesha ni kwa kiasi gani watu umekuwa ukijididimiza na kujiangamiza kila siku.

Sote tunajua umuhimu wa kupumua, sote tunajua kwamba  dakika bila kupumua inaweza kukusababishia kifo.
Sasa wewe unayepitisha wiki,mwezi, mwaka bila kusoma umekufa mara ngapi???

Kumbe ndio maana Robin Sharma alisisitiza kwa kusema “kuna watu wanaokufa katika umri wa miaka 20 na kusubiri kuzikwa katika umri wa miaka 80″.

Hii inaonesha ni kwa jinsi gani alitambua suala hili la umuhimu wa kusoma vitabu.

Sasa naomba nikuulize wewe, mara ya mwisho wewe kufa ni lini?
Ni lini ulisoma kitabu?
Badilika sasa!
Kama umesubiri kuzikwa katika umri wa miaka 80 basi unaweza kuishia hapa ukaacha kusoma Makala haya. Ila kama uko makini na maisha yako. Endelea kusoma makala haya mpaka mwisho.

Anza leo kuiimariaha afya yako ya mwili kwa kusoma Kitabu kimoja sahihi. Ni bora kusoma ukurasa mmoja kwa siku kuliko kutosoma kabisa.

Sasa sijui hapo utasingizia nini, yaani unataka kuniambia hauna hata dakika tano za kusoma ukurasa mmoja?
Chukua hatua,
Maana bila kusoma na kuongeza maarifa utazeeka mapema. Hii ni kutokana na ukweli kwamba mawazo yako yatakuwa yamepitwa na wakati na ya kizamani. Kitabu kimoja kinaweza kujenga historia yako. Na Kitabu chenyewe ni KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI.
Nunua na usome Kitabu hiki leo hii uone mabadiliko.

Sa zaidi; Jifunze Mawasiliano

Hatua za kuchukua siku ya leo.

🔨 lipia Kitabu hiki cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI sasa. Bei ya Kitabu ni shilingi 10,000 za kitanzania.

🔨 tuma pesa kwenda namba 0756848391jina GODIUS RWEYONGEZA

🔨baada ya hapo nitumie ujumbe kwenda namba hiyo hiyo wa kunitaarifu juu ya njia ambayo ungependa niitumie kukutumia Kitabu. Njia hiyo inaweza kuwa ni wasapu, telegram au email.

🔨 tembelea www.songambeleblog.blogspot.com upate Maarifa ya kukutoa sifuri mpaka kileleni kila siku.

Wewe Ni Zaidi Ya Ulivyo Sasa.

Tukutane kwenye mzunguko wa wanamafanikio.

Tukutane kwenye meza ya wanamafanikio.

Wewe Ni Zaidi ya ulivyo sasa.
Tukutane kwenye meza ya wanamafanikio.
Tukutane kwenye mzunguko wa wanamafanikio
Kujiunga na kundi la wasp la HAZINA YETU BONYEZA HAPA
Ndimi
Coach Godius Rweyongeza
godiusrweyongeza1@gmail.com
www.songambeleblog.blogspot.com
Ili kupata kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI  BONYEZA HAPA

Bonyeza hapa ili uweze kupata makala maalumu kila wiki.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X