Application Nne Unazopaswa Kuwa Nazo Kwenye Simu Yako


Habari ya siku hii ya leo rafiki tangu, imani tangu kwamba leo ni siku njema sana na unaenda kufanya mambo makubwa sana sasa. Hongera sana kwa kuipata siku hii ya leo rafiki tangu. Kwa hakika leo hii ni siku njema sana hakikisha haipotei.
Kwa Sasa hivi tupo katika zama ambazo ni za tofauti kabisa na siku za nyuma. Tupo katika zama ambazo maarifa yapo kiganjani mwako. Maarifa haya yanapatikana kupitia njia mbali mbali. Na moja ya njia hizi ni njia ya mtandao.  Kwa sasa hivi kuwa na simu ya mkononi kunatosha tu kukupa wewe taarifa za kutosha juu ya maamuzi muhimu unayohitaji kuyafanya maishani mwako. Moja ya njia ya mtandao inayotumika kutoka maarifa ni kupitia application. Application hizi za zama hizi zina manufaa makubwa sana kwa sasa. Yaani tunaweza kuziita redio za zama za viwanda.  Na kwa Tanzania kuna watanzania wanamiliki na kuendesha app hizi mitandaoni. Kiukweli application hizi ni zina maarifa ya kutosha kiasi kwamba sitaki na wewe ukose maarifa haya. Ndio maana leo hii nimeamua kukuletea hizi application tano ili na wewe uwe nazo kwenye simu au kompyuta yako. Application hizi ni
1. Bideism blog
2. Lazaro Samwel
3. Saul Kalivubha
4. Fikia Ndoto Zakao label

Hakikisha unaingia play store Sasa na kuzipakua, kwa hakika utanufaika sana.


One response to “Application Nne Unazopaswa Kuwa Nazo Kwenye Simu Yako”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X