.
Ukipita kwenye jengo la kinyozi anachoona cha kwanza kutoka kwako ni nywele na jinsi anavyoweza kukuchonga vizuri.
SOMA ZAID; Fursa Tano Ambazo Unaweza Kuzifanyia Kazi Kwenye Kilimo Cha Bustani Leo
Ukienda sokoni ukapita kwa mama anayeuza mchicha na nyanya cha kwanza kukwambia itakuwa ni kukukaribisha. Utasikia, karibu sana mwanagu. Ni kwa sababu ameshaona fursa ya kuuza.
soma zaidi; Vitu Vitano Ambavyo Hupaswi Kuridhika Navyo
Je, wewe unapokuwa na watu unaona nini?
Tafuta fursa kila uendapo ma ina mtu kama fursa kwako.
Ulikuwa nami
Rweyongeza Godius
Tukutane kileleni