TATIZO S RASILIMALI ZILIZOPOTEA -130 Tatizo hujataka kukjifunza kutoka kwa watu


Watu wanaokuzunguka wewe hapo ni watu muhimu sana kuweza kwa kukusuma wewe kwenye mafankio. Watu hawa wanaweza kukusuma wewe hapo kwenye mafanikio kwa njia tofauti tofaut. Wapo wenye uwezo wa kukwambia kwamba kitu fulani ambacho unafanya wala hata hakiendani na kile ambacho unapaswa kuwa unakifanya. Watu hawa n muhimu sana kwako, watu hawa ni muhmu sana kwa ajili ya mafanikio yako. kama kuna watu ambao wanaweza kukaa chini na kuanza kukuangalia wewe ni nani, unafanya nini na unaenda wapi jua kwamba watu hao ni muhimu sana maana wanaona mafanikio yako kama wanaiona kama sehemu ya maisha yao. Wanaona kwamba kufankiwa kwako kunawahusu na wao pia. Hivyo wako radhi kukwambia kwamba wewe umekosea hapa fanya hivi. Au wanakwambia kwamba fikria mara mbili tatu hapa ili uweze kufanya kitu hiki kwa umakini wa halil ya juu usana na ubora wa hali ya juu sana. kwa hiyo katika maisha penda sana kuwa na watu kwama na ukibahatka kuutana nao o basi  furahi sana maana watu hawa wanakukujenga sana kukufanya wewe kuwkea daraja ya  mafanikio ambayo unapasa kuwa umekwea. Watu hawa wakumbatie, wakumbatie na tena!
Asante sana,
Unaweza sasa kujjipati avitabu vyangu kwa bei kwa tsh. 16,000 tu! Tuma sasa pesa kwenda nambari 0755848391 jina GODIUS RWEYONGEZA.
Pesa ya kitabu kimoja kimoja ni kama ifuatavyo;
KUTOKA SFURI MPAKA KILELENI tsh.9000/-
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-tsh 7000/-

Ukishatuma pesa ntumie ujumbe mfupi wenye email yako li niweze kukutumia kitabu.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X