TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-124 Tatizo hujajiiuliza maswali haya ya muhimu



Hivi kwa nini katika jamii moja unakuta kuna mtu kafanikiwa na mwingine anahangaika na hali aliyonayo?
Kwa nini baadhi ya watu kila wanachogusa kinageuka kuwa dhahabu wakati wengine kila wanachogusa hugeuka kuwa moto na kuwaunguza?
Kwa nini baadhi ya watu wana mahusiano mazuri na wengine wanahangaika?
Kwa nini kuna watu kila kitu wanaonekana wanatimiza lengo moja baada ya jingine kwa mafanikio ya hali ya juu sana huku wengine wakiwa hata hawapigi hatua kusonga mbele?
Kwa nini wengine wana furaha sana, wakati wengine wana huzuni?
Kuna nini?
Bila shaka majibu ya maswali haya yakiwekwa moja kwa moja kwenye mfumo (mtaala) wa elimu basi, nina hakika taifa hili litakuwa limefanya mabadiliko makubwa sana ya kuwatengeneza magwiji mashuleni. Binafsi kwa kutambua kwamba majibu haya shuleni hayapatikani kabisa, basi nimeamua kufuatilia na kutafuta majibu ya maswali haya yote na mengine Zaidi. Unajua nini? Ukiyafahamu majibu yake utafurahi sana,
Majibu maswali ya hayo yamewekwa kwenye kitabu kinachoitwa KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI. Hata huitaji kulipa karo ya miaka mitatu chuo ili kupata majibu ya maswali hayo yote. Unachohitaji ni kuchukua kile kitabu na kukisoma nyumbani kwako. Ukimaliza kukisoma na kuyafanyia kazi yaliyomo nina hakika chuo chenyewe kitakufuata kwako ili kikakutunuku shahada. Hahaha umeona eeh! Yaani badala ya wewe kwenda chuo ili kutafuta shahada, shahada inaukukuta kwako.
Sasa changamka rafiki ili uwe na kitabu hiki mikoni mwako leo. Kitabu hiki kinapatika kwa bei ya zawadi mpaka tarehe 10 februari. Na bei hii ya shilingi 8,000 tu. Yaani huwezi amini kitu kikubwa kama hiki kukipata kwa bei chee kiasi hicho!
Sasa lipia hiyo pesa kwa nambari 0755848391 jina GODIUS RWEYONGEZA. Baada ya hapo nitumie ujumbe wa njia ambayo ungependa nikutumie kitabu kati  ya hizi. Email, wasap au telegram.
 kupata pia kitabu cha TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA, utakipata pia kwa bei ya zawadi ambayo ni 6,000 za kitanzania tu. Karibu sana.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X