TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-127 Tatizo hujajua kwa nini umeshindwa


Kupenda mafanikio ni jambo moja lakini kuwa tayari kulipa gharama ya kuyafikia mafanikio ni jambo jingine ambalo liko upandea wa pili wa shililngi. Ukiingia katika chumba na kuwauliza watu  ni wangapi wanapenda mafanikio? Basi utashangaa kuona mikono mingi sana ya watu ambao wanapenda kupata mafanikio. Lakini ukitoka kwenye kile chumba na kuanza kuwafuatiliwa wale watu basi Utagundua kwamba ni watu wachache sana ambao wanaweka juhudi ili kuhakikisha kwamba kile ambacho wanakitaka wanakipata. Kuna sababu nyingi sana zinazowafanya watu wasiweze kuweka juhudi. Hapa ninaenda kuzizungumzia baadhi
#1. Kutokuwa na malengo
2. Kutojituma
3. uwoga
4. kukosa vipaumbele
5. kukosa ujasiri
6. Kukosa sababu
7. kutokuwa na mskumo
9. kukosa maarifa
10. ukosefu wa nidhamu
11. kutoutumia uwezo wako

12.kushindwa kuzitambua fursa
13. kutojifunza kutokana na makosa ya zamani
14. kutokitumia kipaji
15. kushindwa kulipa gharama ya kujiandaa
16. kutozitambua sheria za asili
17. kukosa ushawishi
18. uchoyo
19. kutafuta njia za haraka
20. kukosa uvumilivu
21. kuogopa hatari
je, wewe kitu gani kinakukwamisha kati ya hivyo hapo juu. basi kifahamu kile kinachokukwamisha na weka juhudi kuhakikisha kwamba unaaza kukibadilisha badala ya kukaa tu na kuanza kukiangalia. matokeo makubwa yana kuja kwa watu ambao wako tayri kuhakikisha kwamba wanaweka juhudi katika kazi, 
asante sana,
tukutane kileleni.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X