TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-132 Tatizo hauna mzigo wa kubeba


Mara nyingi sana ukimwangalia mtu, anaweza kuwa ni rafiki kaka au ndugu akiwa ambeba mzigo mkubwa sana huwa unamwonea huruma. Unaona kama anajitesa kwa sababu abafanya kazi kubwa sana. anajitesa kwa sababu anabeba mzigo mkubwa sana. ukweli katika maisha sio kwamba aliyebeba  mzigo ndiye anapasa kuonewa huruma. Ila yule ambaye hajabeba mzigo ndiye anapaswa kuonewa huruma. Kiufupi ni kwamba mzigo mzito dunianini kutobeba kitu chochote mabegani,
Hakikisha leo hii unabeba mzigo, usikae tu na kuzurura bila mzigo. Je, wewe unaenda kubeba nini?
Tukutane kileleni.
Ndimi
GODIUS RWEYONGEZA ($onga mbele)
0755848391
Jipatie sasa vitabu vyangu kwa shilingi 16,000 tu. Bei ya vkitabu kimoja kimoja ni kama ifuatavyo 
  KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI tsh.9,000/

  TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA ni tsh. 7000/-
Hii ni zawadi ambayo huwezi kuipata sehemu nyimgine duniani. Tuma pesakwaenda namba tajwa hapo juu. Baada ya hapo nipe taarifa ya njia ambayo unapendekeza nikutumie kitabu. Inaweza kuwa ni wasapu, email au telegram. Asante sana


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X