Watu wengi sana huwa wanapenda kuanzisha kitu kipya kwa sababu ya msukumo fulalni unaokuwepo mwanzoni wakati wanaanzisha kile kitu. lakini kadri muda ambavyo unaenda watu hao huwa wanajikuta kwamba kile kitu ambacho walianzsiha hawakimalizii kwa sababu wanakutana na kikwazo. Au kwa sababu katikati ya safari walikutana na fursa mpya na hivyo kuamua kukibizana na fursa mpya na kuachana na ile ya zamani. Watu wa aina hii kamwe hawatakuja kuacha kukimbizana na fursa maana fursa huwa zipo na huwa zinajitokeza kila siku. Kama fursa zipo kila siku tufanyeje? Basi hapo tuchague fursa moja kuhakikisha kwamba fursa hiyo hapo tunaifanyia kazi. Ni bora kufanya kitu kimoja na kukikamislisha kuliko kufanya vitu kumi nusu.
Kwa hiyo kazi ya kufanya ndani ya siku hii ya leo,
Hakikisha kwamba kile abacho unaenda kufanya leo unakifanya mpaka mwisho. Kikamilishe haswa, usifanye kitu nusu na kuondoka,
Tukutane kesho asubuhi na mapema kwenye Makala mengine kama haya.
Ndimi,
Godius Rweyongeza
Jipatie nakala ya vitabu vyangu vyote kwa bei ya zawadi ya shilingi 14,000 tu. Bei hii ya zawadi mwisho wake ni tarehe 10. february mwaka huu. Baada ya hapo vitabu hivi vitaanza kupatikana kwa bei yake ya kawaida abayo ni tsh. 20,000. Hakikisha unaichangamkia zawadi hii rafiki yangu kwa kulipa kiasi hicho kidooogo kwenda nabari 0755848391 jina GODIUS RWEYONGEZA. Baada ya hapo nitumie ujumbe wa kunijulisha juu ya njia ambayo napaswa kuitumia[ss1] ili kukutumia kitabu hicho. Ambayo inaweza kuwa ni wasapu, telegram au email Karibu sana,
Bei ya kitabu kioja ni TATIZO SI RASILIMALI ZILIOZPOTEA- sh. 6,000/-
KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI tsh 8,000
Vitabu vyote ni soft copy na vinatumwa kwa email, wasp au telegram.