Kila kitu kina wakati wake, wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna, wakati wa kulia na wakacti wa kucheka….
Hakuna kitu ambacho huwa kinatokea tu! Balli ni majira ya kitu husika tu huwa yanapita
Unapokutana na nyakati ngumu sio kwamba ule ndio unauwa mwisho wa safari wala hicho sio chanzo cha wewe kulia bali ni chanzo cha wewe kutafuta mbinu mpya kufanikisha kitu hicho. Hakikisha kwamba muda wote unatafuta mbinu mpya ya kuhakikisha kila mara unatafuta mbinu mpya ya kufanikisha kile ambacho unapanga kufanya.
ndimi, Godius Rweyongeza