A NOTE FROM SONGAMBELE; Namba Za Simu


Kama katika namba za simu zote zilizo kwenye simu yako hauna namba ambazo unaweza ukazipigia zikakusaidia kutatua tatizo Fulani basi hapo unapaswa kuivunja laini hiyo …

Ndio inashangaza lakini ni ukweli.
Kama watu wote ulionao kwenye simu yako muda wote tu wanataka mchati, tena sio masuala ya maana. vunja laini.

Vunja laini na anzisha mpya ambayo itakuunganisha na watu wanaojielewa.

Kwa ninj uwe na laini ambayo haina mawasiliano ya maana kwako? Kwa nini?

This is a note from songambele..

Ndimi,
Godius Rweyongeza
($ongambele)
0755848391
www.songambeleblog.blogspot.com


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X