A NOTE FROM SONGAMBELE; TOA KINACHOHITAJIKA


Ili umkamate samaki unahitaji kumpa chambo. IPO hivyo. Hakuna jinsi unavyoweza kumakamata samaki kwa kumpa ugali na nyama.

Kwa hiyo gharama kubwa ya kumakata samaki ni kutafuta chambo na kumpa.

Ukilifahamu hili kwenye safari ya mafanikio wala hata haitakupa taabu, maana utafanya kama unavyofanya kwenye samaki. Na chambo cha mafanikio ni kuwa tayari kulipa gharama. Gharama hizi ni
1. Malengo
2. Kazi kwa bidii
3. Kujituma
4. Kufanya kazi bila kusimamiwa (kujiongoza)
5. Marafiki wazuri pamoja na washauri.
6. Kutunza muda
7. Kusoma, kusoma, kusoma.

Soma Zaidi; A NOTE FROM SONGAMBELE; UMEONGEA NA NANI LEO?
Kwa hakika vyambo hivi havishindwi kwenye safari ya wewe kuelekea kileleni.

Tukutane kwenye meza ya wanamafanikio.

Ndimi,
Godius Rweyongeza.
www.songambeleblog.blogspot.com
0755848391

Jipatie Kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI LEO kwa bei ya sh. 10,000/- tu. Karibu sana


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X