kila siku huwa ni siku njema sana ya wewe kuweza kuitangaza BIASHARA yako.
Kama wewe Leo hujapiga hata hatua moja kuhakikisha kwamba unaitangaza BIASHARA yako jua kwamba hujaitendea hako BIASHARA yako ipasavyo.
Unapaswa kuhakikisha kwamba kila kunapokucha walau unamfikia MTU mmoja wa ziada. Kila siku unapaswa kuitangaza biashara yako ambapo ulikuwa bado hujafanya? Je, umefanya hivyo Leo?
Kafanye sasa hivi. Muda ni sasa.
This is a note from songambele
Ndimi,
Godius Rweyongeza
0755848391
KUPATA KITABU CHA KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI BONYEZA HAPA
HUDUMA NYINGINE UNAZOWEZA KUPATA KWANGU HIZI HAPA