A NOTE FROM SONGAMBELE; VIDOGO VS VIKUBWA


Ukilala muda unaopaswa
kufanya kazi, utafanya kazi muda
unaopaswa kulala

Ukitumia pesa kufanya manunuzi ambayo si ya lazima ghafla utajikuta unahangaika kukopa pesa kwa ajili ya matumizi ambayo ni ya lazima

Usipokuwa makini na matumizi ya hela kidogo mkononi hutaweza kutumia hela kubwa sana ambayo utakuja mkononi mwako.

Kama huwezi kuanza na hatua hatua kdogo ndogo kuelekea kileleni, usitegemee kujikuta umeamka asubuhi una mafanikio makubwa.

This is a note from songambele

Ndimi,
Godius Rweyongeza
(Songambele)
0755848391
KUPATA KITABU CHA KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI BONYEZA HAPA

KUPATA KITABU CHA TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA BONYEZA HAPA

HUDUMA NYINGINE UNAZOWEZA KUPATA KWANGU HIZI HAPA


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X