Hii Ndio Zawadi Pekee Ambayo Unapaswa Kuipokea Mikononi Mwako


Habari ya siku hii njema sana ya leo rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii njema sana ya pasaka, ikiwa ni siku ya pili.

Tangu jana rafiki yangu nimeamua kukupa zawadi ya pasaka ili ufurahie vizuri pasaka yako.

Siku zote huwa naamini zawadi nzuri ni ile inayokupa hamasa ya wewe kusonga mbele. Kama ambavyo mtu mmoja amewahi kusema, “rafiki wa kweli ni yule anayekupa zawadi ya kitabu”. Basi leo hii ninayo zawadi nzuri sana ya vitabu. Ndio ni  zawadi ya vitabu vitatu adimu sana,

Soma Zaidi: Vitu Vitatu Vitakavyokutoa Sifuri Mpaka Kileleni

vitabu hivi ni
1.
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA kwa sh.8,000 badala ya 10,000

2. KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI kwa sh.8,000 badala ya 10,000

3. NYUMA YA USHINDI
kwa sh.2,000 badala ya 3,000

Kama ambavyo unaona hapo juu. Kila kitabu kimewekewa bei yake ya zawadi. Hii ni ya kwako tu wakati wa msimu huu wa pasaka.

Ili kuipata zawadi hii lipia kiasi cha pesa cha kitabu husika kwenda nambari 0755848391 jina GODIUS RWEYONGEZA

Baada ya hapo nitumie ujumbe mfupi wenye email yako. Yaani utapokea kitabu muda mfupi baada ya wewe kutuma ujumbe wenye email yako.

Tukutane kwenye meza ya wanamafanikio

Ndimi,
Godius Rweyongeza
0755848391


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X