Kila siku unapata nafasi ya kuwa na watu mbali mbali ambao unashirikiana nao. Ila sio kila MTU ambaye unakutana naye anakufaa. Kuna MTU mmoja muhimu sana ambaye unapaswa kushirikiana naye. Na hu sio mwingine.
Bali MTU ambaye anakupa changamoto. MTU ambaye nawaza mambo makubwa.
Mtu ambaye anawaza chanya.
Mtu anayejua umuhimu wa Muda (anatunza miadi).
Mtu anayekusikiliza pale unapopaswa kusikilizwa.
Mtu anayejali uwepo wako
Mtu anayependa kuona wewe unafanikiwa.
Mtu anayetembea na wewe nyakati zote (shida na raha).
Mtu aliyetayari kukukosoa unapokosea.
Ambatana na huyu hapa. Hakika utapiga hatua kubwa sana
Tukutane kwenye meza ya wanamafanikio.
Ndimi,
Godius Rweyongeza
0755848391