KITABU, TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA


Kwa siku nyingi sasa kumekuwepo na malalamishi kutoka kwa watu mbalimbali, ndani na nje ya bara la la AFRIKA, malalamishi haya haswa yanaelekezwa kwa wazungu na wakoloni na watu nchi za nje. Watu wengi wamekuwa wakilalamika kwamba sasa bara la Afrika lingekuwa limepiga hatua kubwa sana kama wasingekuwa wakoloni waliotawala nchi hizi za Afrika na kuchukua rasilimali nyingi sana.

Je, mtazamo huu ni wa kweli?

 Katika kitabu hiki (TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA) utakutana na mtazamo wa tofauti kutoka kwa mwandishi. Mwandishi atakuonesha kwamba rasilimali zilizopotea si tatizo kama ambavyo watu wengi wanafikiri. Hii ni kutokana na ukweli kwamba rasilimali bado zinazidi kupotea mpaka sasa hivi. Kila mtu ni shuhuda juu ya madini, wanyamapori na mchanga ambao umekuwa ukizidi kubebwa na kupelekwa nje ya nchi kila mwaka, ingawa wakoloni hawapo.
Si hilo tu bali watanzania na waafrika kwa ujumla wamezidi kuwa nyuma kwa mambo mengi ikiwemo mambo ya uwekezaji, uhuru wa kiuchumi, sayansi, utafiti kutaja ila machache.
Hii ni kutokana na imani ya watu wengi ambao wanaamini kwamba mwekezaji ni mtu kutoka nje ya nchi na wengine wanaamini kwamba vitu vingine si vya viwango vyao bali vinastahili kufanywa na wazungu.

 Basi kwa hali hii bila shaka utakubaliana na mimi kwamba TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA.

Sasa kama tatizo SI rasilimali zilizopotea, tatizo ni nini?

Ndani ya kurasa za kitabu hiki utapata kujifunza matatizo kadha wa kadha yanayosumbua.

Ikiwemo,
1. Tatizo hutaki kulipa gharama
2. Tatizo ni tabia
3. Tatizo una haraka sana.
4. Tatizo haupo tayari kushindwa
5. Tatizo  ni nidhamu
6. Tatizo unaendeleza tatizo baada ya tatizo
7. Tatizo  hutaki kucheza mziki ulio ndani yako
8. Tatizo hutaki kukubali kwamba kuna tatizo

Soma zaidi; KITABU; KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI

Kiukweli kitabu hiki ni muhimu sana kwa kila mtu kukisoma.

Kitabu hiki kipo katika mfumo wa soft copy na kinatumwa kwa email popote pale ulipo.

Cha kufanya lipia gharama ya kitabu hiki ambayo ni 10,000/- kwenda 0755848391
Baada ya hapo nitumie email yako ili nikutumie kitabu. Utapokea kitabu muda mchache baada ya kutuma email yako.

Kitabu hiki kinaweza pia kutumwa kwako pia kwa  njia ya wasapu na telegram.

Karibu sana.

Ndimi,
Godius Rweyongeza
0755848391

KUPATA KITABU CHA KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI BONYEZA HAPA

HUDUMA NYINGINE UNAZOWEZA KUPATA KWANGU HIZI HAPA


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X