Hii Ni Imani Mbaya Ambayo Watu Wanayo Juu Ya Kushindwa


Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Hongera sana rafiki yangu kwa siku hii njema sana.

Katika maisha yetu ya kila siku moja kati ya jambo ambalo halipendwi kuongelewa sana na neno kushindwa. Hii ni kutokana na ukweli kwamba watu walio wengi wanafikiri kwamba kushindwa ndio mwisho wa kila kitu. Na wengine wanajua kwamba kushindwa kunaepukika. Hivyo wanawekeza muda mwingi sana katika kuepuka kushindwa.

Rafiki yangu naomba nikwambie kwamba kuepuka kushindwa ni imani mbaya unayoweza kuwa nayo kwenye maisha yako.

Kitu kikubwa katika maisha sio kwamba uepuke kushundwa, bali ni kuomba Mungu akupe uwezo wa kuhimili mikikimikiki  inayojitokeza unaposhindwa.

Rafiki yangu usitake kukimbia kushindwa hata siku moja. Tafuta mbinu au njia ya kuhimili mikikimiki  ya kushindwa.

Hilo ndilo jambo ambalo unaweza kufanya kwenye maisha yako likaonekana la kishujaa zaidi kuliko kukwepa kushindwa.

Soma Zaidi: Sifa Tatu Wanazobeba Wajasiliamali Kwa Pamoja

TWO IN ONE; Jinsi Ya Kutumia Kanuni Hizi Mbili Kama Kitu Kimoja

Ndimi,
Godius Rweyongeza
0755848391

KUPATA KITABU CHA KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI BONYEZA HAPA


HUDUMA NYINGINE UNAZOWEZA KUPATA KWANGU HIZI HAPA

KUPATA MAKALA MAALUM KWA WATU MAALUM KILA WIKI BONYEZA HAPA 


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X