JIFUNZE, JIFUNZE


Moja ya jambo ambalo unapaswa kulifanya kila siku maishani mwako basi ni kujifunza.

Hakikisha kila kunapokucha unajifunza. Kila jioni unapaswa kujiuliza je, leo nimejifunza nini?

Kama bado hujajifunza kitu hakikisha unachukua hatua kujifunza. Jifunze leo, jifunze kila kukicha.

Kamwe usijisikie vyema na kutulia bila ya wewe kuhakikisha umejifunza kitu kipya. Lakini pia usiishie tukujifunza. Weka katika matendo ujifunzacho. Kifanyie kazi.

Utamu wa kujifunza ni kuweka katika matendo.

Ndimi,
Godius Rweyongeza
0755848391

KUPATA KITABU CHA KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI BONYEZA HAPA


HUDUMA NYINGINE UNAZOWEZA KUPATA KWANGU HIZI HAPA

KUPATA MAKALA MAALUM KWA WATU MAALUM KILA WIKI BONYEZA HAPA


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X