Kila Kitu Kipo Cha Kutosha


Dunia tunamoishi kuna kila aina ya utajiri. Hakuna kitu kinachopatikana kwa udogo. Ukiona unatafuta kitu na hukioni sio kwamba hakipo ila wewe haujajiweka katika mkao wa kukiona, iko hivyo.

Leo hii ukiamua Kutoka nje na kuangalia magari ya yenye rangi nyekundu utayaona mengi sana.

Ukiamua kufuatilia juu ya viatu vya aina fulani utahshagaa sana, utakuatana navyo vya kutosha mno.

Soma Zaidi: Viashiria Vitano Vitakavyokufanya Uendelee Kuwa Masikini Maisha Yako Yote

Yaani dunia ina kila aina ya kila kitu kwa wakati husika. Na yenyewe inakupa kitu unachohitaji kwa wakati husika. Iwe ni chanya au hasi. Kadri wewe unavyoomba na kuona kitu fulani kwamba kinakufaa unapata hicho hicho. Kama kwako vitu hasi (ugongwa, umasikini, kuonewa, n.k) ndio unaona basi utapata vitu hivyo. Maana dunia ina kila aina kitu sasa ni juu yako kuomba vitu vizuri na kuuona uzuri wa dunia. Ona utajiri, pesa za kutosha, afya njema, maarifa ya kutosha n.k

Ndimi,
Godius Rweyongeza
0755848391

KUPATA KITABU CHA KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI BONYEZA HAPA


HUDUMA NYINGINE UNAZOWEZA KUPATA KWANGU HIZI HAPA

KUPATA MAKALA MAALUM KWA WATU MAALUM KILA WIKI BONYEZA HAPA


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X