Shukrani Kwa Watu Wote KHERI YA SIKU YA KUZALIWA KWANGU


Leo ni tarehe 5/8. Ni siku ya kuzaliwa kwangu.

Siku hii ya leo naomba niitumie kutoa shukrani maana kama ilivyo kwamba
Kuwa na hisia za kutoa shukrani, bila kutoa shukrani ni sawa na kuandika barua bila kuituma.

Kwa msingi huo nachukua nafasi hii kumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai mpaka siku ya leo hii ninapoadhimisha siku yangu ya kuzaliwa.
Ninaendelea kupumua kuvuta pumzi na kusonga mbele kila wakati kwa sababu ya msaada wa Mungu.

Nawashukuru wazazi wangu ambao kila ninapopiga hatua wapo bega kwa bega na mimi.

Ninakushukuru wewe hapo ambaye upo na mimi kila wakati. Kwa hakika najivunia kuwa na rafiki mzuri kama wewe hapo.

Pongezi zangu zikufikie wewe rafiki yangu popote pale ulipo.
Asante sana na karibu sana tuendelee kuwa pamoja zaidi. Yajayo yanafurahisha zaidi.

Soma Zaidi: Ndoto Kutoka Kwa Mama Yangu, Ndoto Kutoka Kwa Mwalimu Nyerere
Ndimi,
Godius Rweyongeza
0755848391

KUPATA KITABU CHA KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI BONYEZA HAPA


HUDUMA NYINGINE UNAZOWEZA KUPATA KWANGU HIZI HAPA

KUPATA MAKALA MAALUM KWA WATU MAALUM KILA WIKI BONYEZA HAPA


2 responses to “Shukrani Kwa Watu Wote KHERI YA SIKU YA KUZALIWA KWANGU”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X