Je, una mpango wa kuingia ajirani? Je, upo kwenye ajira sasa hivi? Kwa nini?
Kawaida kila kitu huwa kinafanyika kwa sababu. Vivyo hivyo unapoingia kwenye ajira basi unapaswa kuwa na sababu inayokusuma.
Najua utashangaa kuona nakuandikia kitu kama hiki. Katika akili yako unajua kwamba mtu unaingia ajirani ili upate pesa. Lakini kitu hakipaswi kuwa kitu kinachokusuma kuingia ajirani. Kama wewe unaingia kwenye ajira ili kutafuta pesa basi ni bora usiingie. Kafanye shughuli nyingine utapata pesa za kutosha. Ukijiajiri utapata pesa, kuliko kupoteza muda mwingi kwenye ajira.
Kuna vitu tisa ambavyo vinapaswa kukusuma wewe kuingia ajirani. Na kama utasukumwa na vitu hivi naamini utaipenda kazi unayoifanya na utaifanta kwa weredi mkubwa na ubunufu wa hali ya juu. Vitu hivi ni;
1. Kupata ujuzi
2. Uzoefu
3. Nidhamu ya muda
4. Uongozi na utawala
5. Kushirikiana na watu
6. Mtandao wa mahusiano
7. Kufahamika
8. Kujifunza moja kwa moja kutoka kwa waliokutangulia.
9. Kutoa thamani kwa watu
Vitu Vinne Vinavyowafanya Waajiriwa Kuendelea Kuajiriwa
Ndimi,
Godius Rweyongeza
0755848391
KUPATA KITABU CHA KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI BONYEZA HAPA
HUDUMA NYINGINE UNAZOWEZA KUPATA KWANGU HIZI HAPA
KUPATA MAKALA MAALUM KWA WATU MAALUM KILA WIKI BONYEZA HAPA