Kitu Kimoja Ambacho Utakipata Endapo Itasoma Kitabu Kimoja Kati Ya hivi Hapa


Habari ya leo rafiki yangu. Hongera kabisa kwa nafasi hii ya kipekee sana ya leo. Leo ni tarehe 23 oktoba 2018 mpaka sasa ninapoandika makala haya, zimebaki siku 69 mwaka huu kuisha.

Kama mwaka huu uliweka malengo ya kufanya kitu, basi sasa umefika wakati wa kujiuliza umefikia wapi kwenye kuyatimiza malengo yako??

Sasa leo naomba nikushirikishe faida moja utakayopata endapo utasoma kitabu kimojawapo kati ya hivi vitano au utasoma vyote.
Kwanza naomba ujue kwamba vitabu hivi sio vingine bali ni
1. KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI
2. TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA
3. NYUMA YA USHINDI
4. MAMBO 55 YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZISHA BIASHARA
5. JINSI YA KUIBUA UBUNIFU ULIO NDANI YAKO.

1. Kama utalipa pesa yako kununua kitabu kimojawapo, ukakisoma, ukafanyia kazi ila ukawa hujapata matokeo, basi ninaenda kukurudishia pesa yako yote bila kukata hata senti.

2. Kama utanunua kitabu na mategemeo ya kukutana na kitu fulani, kulingana na kichwa cha kitabu, ukawa hukukutana nacho mwanzo mpaka mwisho,  nitakurudishia pesa yako yote bila makato.

Sasa kitakachobaki ni wewe kuamua kupata kitabu au vitabu vyote au kukaa navyo tu kama mapambo ila mimi nakuhakikishia nitakurudishia pesa yako yote bila makato endapo kitabu hakitakidhi matakwa yako.

Hii ni faida  ya kipekee sana, unataka kununua kitabu  au vitabu vyangu.

Cha kufanya sasa, nunua kitabu kimojawapo au idadi utakayotaka kulingana na bei hizi hapa chini.
1. KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI 10,000/-

2. TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA  10,000/-

3. NYUMA YA USHINDI 5,000/-

4. MAMBO 55 YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZISHA BIASHARA 5,000

5. JINSI YA KUIBUA UBUNIFU ULIO NDANI YAKO 7,000/-

Vitabu vyote vinapatika kwa nakala tete (soft copy).
Ila kitabu cha NYUMA YA USHINDI pia kina hard copy. Kama utahitaji hard copy basi utapaswa kuongeza tsh.5000/- ya nauli ya kutuma kitabu kulingana na eneo ulipo.
 Na hivyo jumla utalipa 10,000 tu.
Kitabu kitatumwa kwa basi kutoka Morogoro  mpaka ulipo. Ukiona huwezi kupata 10,000 utalipia 5,000 ili kupata nakala tete ya kitabu hicho hicho. Ila kama upo Morogoro basi 5,000 hiyo hiyo itakupa nakala ngumu (hard copy) kulingana na eneo ulipo.

Soma Zaid;  Ifahamu Nguvu Ya Kutoa Na Jinsi Unayoweza Kuitumia Kwa Manufaa Yako

Karibu sana ili upate nakala ya kitabu.

Ndimi,
Godius Rweyongeza
0755848391

KUPATA KITABU CHA KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI BONYEZA HAPA


HUDUMA NYINGINE UNAZOWEZA KUPATA KWANGU HIZI HAPA

KUPATA MAKALA MAALUM KWA WATU MAALUM KILA WIKI BONYEZA HAPA


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X