UCHAMBUZI WA KITABU CHA LAWS OF HUMAN NATURE🔥🔥


Mwezi uliopita rafiki yangu Magambo alinipa taarifa kwamba kitabu cha kipya Cha Robert Greene kitakuwa kinatoka mwezi huu.

Mimi ni miongoni mwa watu ambao hawapendi kupitwa na kitabu chochote cha mwandishi huyu. Hivyo niliamua kufuatilia ili nijue kitabu hiki kitatoka lini na baada ya hapo nianze kukisoma bila kuchelewa. Niligundua kwamba kitabu hiki kitatoka tarehe 23 oktoba.

Hapo hapo nilimwambia  rafiki yangu kwamba nitakuwa mtanzania wa kwanza kusoma kitabu hiki hapa.

Na bila shaka sasa maneno yangu yametimia. Ila kama wewe tayari umeanza kukisoma usiache kuniambia kwamba tayari umeanza kukisoma.
Lakini mpaka sasa hivi najua mimi ndio mtanzania wa kwanza kukisoma😀😀😀

 Kitabu hiki kimeeleza sheria 18 ambazo zinahusiana na tabia za wanadamu.

Ndio sheria 18!!!

Kabla kitabu hiki kutoka nilimwambia rafiki yangu kwamba, “picha ninayoijenga juu ya kitabu hiki, ni picha kama niliyoisoma kwenye NAPOLLEON HILL’S GOLEDEN RULES.

Sasa je, unataka kujua utabiri huu ulikuwa kweli au la?
Subiri kidogo. Jibu utalipata siku sio nyingi.

mfumo wa uchambuzi wa kitabu hiki
Kwa sasa naendelea na uchambuzi wa kitabu cha  WEALTH OF NATIONS (Utajiri wa mataifa). Hivyo uchambuzi huo utaendelea bila kukosa.

Ila wakati huo huo uchambuzi wa kitabu hiki utaanza.

Kitabu hiki kinaweza kwenda mpaka mwezi mzima kabla ya kuisha.

Kina kurasa 649.
Sheria 18
Je, upo tayari kwenda pamoja nami katika uchambuzi huu.

Niandikie ujumbe mfupi ili nikuunge kwenye kundi maalumu ambapo tutakuwa tunachambua kitabu hiki.
Je, unapenda kupata kitabu hiki?
Niandikie pia nikuunge kwenye kundi maalumu ambapo uchambuzi huu utafanyikia ni huko huko utaweza kupata kitabu hiki hapa.

Jumbe zote zipitie 0755848391 (wasp tu)
Uchambuzi unaanza kesho asubuhi bila kuchelewa.

Ndimi,
Godius Rweyongeza
0755848391

KUPATA KITABU CHA KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI BONYEZA HAPA


HUDUMA NYINGINE UNAZOWEZA KUPATA KWANGU HIZI HAPA

KUPATA MAKALA MAALUM KWA WATU MAALUM KILA WIKI BONYEZA HAPA


2 responses to “UCHAMBUZI WA KITABU CHA LAWS OF HUMAN NATURE🔥🔥”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X