Ili taifa liweze kukidhi mahitaji ya wafanyakazi wake basi halipaswi kubaki sehemu moja kwa muda mrefu. Taifa linapaswa kuonesha ali ya kuendelea kiuchumi kila mwaka ili liweze kufikia hatua kuongeza mshahara wa wafanyakazi na kuajiri wafanyakazi wapya.
Bila ya kuwa taifa linalokua kila iitwayo leo, itafikia hatua litashindwa hata kuwahudumia wafanyakazi wake wa sasa.
Na ili taifa liendelee kuzalisha kila siku ya yanahitajika kufanyika mambo yaguatayo:
1. Watu wake kufanya kazi kwa bidii
2. Kujituma
3. Kuwa ndoto kubwa sana
4. Kwenda hatua za ziada
5. Kutosubiri wateja wa bidhaa, bali kuwatafuta.
Tunaendelea kujifunza mambo makubwa sana kwenye kitabu hiki cha kipee sana cha UTAJIRI WA KIMATAIFA.
Naamimi mpaka sasa umeanza kupata mwanga, jinsi ambavyo mataifa yameweza kutengeneza utajiri mkubwa sana.
Soma Zaidi: UCHAMBUZI WA KITABU; WEALTH OF NATIONS-10
Asante sana
Ndimi,
Godius Rweyongeza
0755848391
KUPATA KITABU CHA KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI BONYEZA HAPA
HUDUMA NYINGINE UNAZOWEZA KUPATA KWANGU HIZI HAPA
KUPATA MAKALA MAALUM KWA WATU MAALUM KILA WIKI BONYEZA HAPA