UCHAMBUZI WA KITABU: WEALTH OF NATIONS -7 (Upatikanaji wa bei)


Utajiri Wa Mataifa

Ukurasa wa 50-58

Upatikanaji wa bei

Jana tuliona vitu viwili vinavyotumika kupanga bei ya kitu.
Moja tulisema muda uliotumika kupata kile kitu.
Lakini pia tukamalizia kwa kusema kwamba ujuzi wa mtu aliyehusika katika kupata kile kitu.
Kama bado hujasoma makala ya jana, basi hakikisha unaisoma kwanza ili twende sawa.

Sasa leo, tunaenda kuzungumzia uhitaji wa kitu na wingi wa bidhaa husika sokoni.

Kadiri bidhaa inavyokuwa inahitajika sana sokoni, bei yake pia inaweza kuwekwa juu kwa kipindi ambacho inahitajika sana.

Lakini pia kadri wingi wa bidhaa hutumika kutupatia bei. Bidhaa ambayo inapatikana kwa wingi huwa mara nyingi bei yake ni ndogo wakati bidhaa ambayo upatikanaji wake ni mdogo bei yake huwa ni kubwa.

Haya mambo unaweza kuyaona yanaendelea kwenye masoko yetu hapa nchini ukajua labda ni mambo ya watanzania (wabongo). Ila kumbe yamekuwepo kwa kipindi kirefu sana.

Soma Zaidi: UCHAMBUZI WA KITABU CHA WEALTH OF NATIONS-6

Ndimi,
Godius Rweyongeza
0755848391

KUPATA KITABU CHA KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI BONYEZA HAPA


HUDUMA NYINGINE UNAZOWEZA KUPATA KWANGU HIZI HAPA

KUPATA MAKALA MAALUM KWA WATU MAALUM KILA WIKI BONYEZA HAPA


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X