YAH: ZAWADI YA SIKU YA WASICHANA DUNIANI


Jana tarehe 11 oktoba ilikuwa siku ya WASICHANA DUNIANI. Dunia nzima imekuwa mstari wa mbele siku ya jana kusherehekea sikukuu hii.

Sikukuu hii ikianza kushrehekewa mwaka 2012. Na sasa inasherehekewa takribani dunia nzima.
Siku hii inafamika kama INTERNATIONAL DAY OF GIRLS au siku ya kimataifa ya wasichana.

Sasa kama sehemu ya kusheherekea siku hii. Zawadi ilitoloewa kwa wasichana saba tu!!!
Naomba usome kwa umakini ujumbe wa awali wa kutoa zawadi ulivyokuwa unasema👇🏾

Nimeandaa zawadi kwa watoto wa kike saba tu!!
Zawadi hii nitakutumia popote pale ulipo nchini.

Kwa zawadi hii ninakupa bure vitabu viwili ambavyo ni 

1. JINSI YA KUIBUA UBUNIFU ULIO NDANI YAKO
2. MAMBO 55 YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZSISHA BIASHARA

Ili uweze kupata vitabu hivi hapa, utapaswa kulipia kitabu kimoja cha NYUMA YA USHINDI  (hardcopy).

Kwa hiyo utatumiwa vitabu vitatu jumla.

Ukinunua kitabu kimoja kimoja bei yake ni sawa na tsh. 17,000/-
Lakini kwa zawadi hii hapa vitabu vitatu. Utavipata kwa elfu tano.

Karibu sana. Uwe miongoni mwa watu hawa saba.
Kumbuka ni wasichana/wanawake saba tu!!!

Wakifika saba, wa nane hata kama atatuma pesa nitairudisha kwake.

Pesa itumwe kwa 0755848391 JINA GODIUS RWEYONGEZA.

NAFASI ZILIZOBAKI
Huo ndio ujumbe wa awali wa kutoa zawadi ambao ulitumwa jana jioni.
Napenda kuwambia kwamba tangu nimetuma ujumbe huo sikunya jana mpaka sasa hivi zimebaki nafasi tano tu!!!
Kadri unavyozidi kuchelewa ndivyo unazidi kujiounguzia nafasibya kuwa miongoni mwa watu watakaopokea zawadi ya kitabu hiki hapa.

Kumbuka sh. 5000 tu inakupa vitabu vitatu badala ya 17,000/-
Karibu sana.
Soma Zaidi: Haya Ndio Maji Safi Ya Kumumwagia Mtu Siku Ya Kuzaliwa

MWISHO WA ZAWADI
Mwisho wa kupata zawadi hii ni siku ya leo tarehe 12 oktoba saa nne usiku. Watakaotuma pesa ya kitabu leo, watatumiwa nakala ngumunya kitabu vha NYUMA YA USHINDI kesho. Hata hivyo, nakala tete za MAMBO 55 YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZISHA BIASHRA na JINSI YA KUIBUA UBUNIFU ULIO NDANI YAKO zitatumwa leo leo bila kuchelewa. Kama una swali juu ya hili, tafadha kwa namba usisite kunipigia kwa namba tajwa hapa chini

Ndimi,
Godius Rweyongeza
0755848391

KUPATA KITABU CHA KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI BONYEZA HAPA


HUDUMA NYINGINE UNAZOWEZA KUPATA KWANGU HIZI HAPA

KUPATA MAKALA MAALUM KWA WATU MAALUM KILA WIKI BONYEZA HAPA


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X