Njia Rahisi Ya Kuandika Kitabu Bila Kukiandika


Kuna usemi unaosema hivi, ukitaka kuishi milele, basi Unapaswa kufanya vitu vitatu, 
moja kuzaa mtoto
Pili kupanda miti na
Tatu kuandika Kitabu.

andika kitabu bila kukiandika

Ukiangalia viu hivi vyote ni vya kudumu sana. Yaani ukizaa mtoto, maana take umeruhusu kizazi kiendelee hapa Duniani.
Ukipanda miti maana yake umeacha hazina kubwa, ambayo itadumu kwa kipindi kirefu sana.
Na mwisho ukiandika Kitabu ni hazina ambayo inadumu mamilioni ya miaka. Yaani ni hazina ambayo haichakachuki.

Watu wengi wamekuwa wanaacha kimoja au viwili kati ya hivyo hapo. Yaani wamekuwa wakiacha au watoto au miti (au watoto na miti). Lakini sio vyote.

Linapokuja suala zima LA kuandika kitabu,basi hapa ndipo patamu. Maana sio wote wanaweza kukaa chini na kuandika kitabu. Uandishi ni kazi ngumu ambayo imekuwa inahitaji kujitoa.
Haivutii kuifanya. Hivyo watu wamekuwa wakiachana nayo ili waweze kuendelea na maisha mengine ya kitofauti.
Kitu hiki kimekuwa kinafanya watu wasiache alama ya vitabu hapa Duniani.

Kiukweli kwa jinsi hii tumekuwa tukikosa mengi sana Kutoka kwa watu. Yaani watu waliopaswa kuwa wameandika vitabu, hata hawaviandiki.

Sasa Leo hii napenda nikwambie njia rahisi kuandika Kitabu bila kukiandika. Yaani, kama umekuwa na ndoto ya kuandika kitabu ila uko bize kiasi kwamba hupati muda,
Au kama unapenda kuandika Kitabu ila hujui unaweza kuanzaje,
Au pengine unakosa muda Wa kutulia, kukaa chini na kuzalisha mawazo.

Njia rahisi sana ya kuandika Kitabu katika mazingira haya ni MIMI KUKUANDIKIA KITABU. Ndio huhitaji kujihangaisha hata kidogo. Maana Duniani tupo kusaidiana na Mimi nipo tayari kukusaidia. Nipo tayari kukuandikia Kitabu.

Cha kufanya wewe Unapaswa kujua aina ya kitabu unachotaka nikuandikie.
mfano, cha BIASHARA,
Au cha MALENGO
Au cha vipaji
Au cha dini,
Au cha uongozi,
Au cha mahusiano
Cha historia n.k

Ukishajua aina ya kitabu unachotaka kuandika, nitafute kwa namba 0755848391.
Baada ya hapo niambie wazo lako. Niambie muda ambao ungependa kitabu chako kiwe kimekamilika,
Nitaanza kukufanyia kazi haraka kadri ya makubaliano.
Na kitabu chako utakipata kwa wakati.

Bei ya Mimi kukuandikia kitabu ni rahisi sana. Yaani ni sh. 35,000/- elfu kwa Kila maneno 1,000 nitakayokuandikia.

Tafadhali sana, usikose kuacha hazina ya kitabu hapa Duniani. Waachie watoto na wajukuu wako kitabu ambacho kitadumu milele.

Kitabu ni HAZINA INAYOWEZA KUISHI VIZAZI BAADA YA VIZAZI.
Kumbuka kitabu ninachokuandikia kitakuwa na jina lako mwishoni. Kwa hivyo mwisho Wa siku mwandishi ni wewe Mwenyewe. Changamkia fursa hii.

Ndimi,
Godius Rweyongeza
0755848391

KUPATA KITABU CHA KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI BONYEZA HAPA


HUDUMA NYINGINE UNAZOWEZA KUPATA KWANGU HIZI HAPA

KUPATA MAKALA MAALUM KWA WATU MAALUM KILA WIKI BONYEZA HAPA


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X